Wakazi wa kaskazini mwa Bujumbura waendelea kuteseka kwa madhara ya mafuriko + Sauti
Jan 07, 2020 05:01 UTC
Waathiriwa wa mafuriko katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mwa Bujumbura waliopiga kambi katika madarasa ya shule wametakiwa kuondoka ili kuruhusu sehemu ya pili ya mwaka wa shule kuanza. Hata hivyo raia hao wanalalamika kutokuwa na sehemu ya kwenda. Hali hiyo imepelekea baadhi ya shule katika eneo hilo kuakhirisha kufungua muhula mpya wa masomo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura…
Tags