Waislamu Kenya walaani kupewa likizo ya lazima Sumaya Uthman
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i703-waislamu_kenya_walaani_kupewa_likizo_ya_lazima_sumaya_uthman
Wataalamu wanawake wa Kiislamu nchini Kenya kupewa likizo ya lazima Sumaya Uthman.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 06, 2016 08:21 UTC

Wataalamu wanawake wa Kiislamu nchini Kenya kupewa likizo ya lazima Sumaya Uthman.

Wataalamu wanawake wamejitokeza kwa wingi na kulaani hatua ya kupewa likizo ya lazima afisa huyo mkuu mtendaji wa shirika la mafuta nchini Kenyana kumtaka Rais Uhuru Kenyatta na Waziri wa Kawi Charles Keter kumrejesha kazini mara moja.

Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hiyo hapo juu ya mwandishi wetu wa Nairobi...