Kampeni ya kukabiliana na ombamba Mombasa Kenya inaendelea
May 15, 2016 05:31 UTC
Serikali ya Kaunti ya Mombasa imeazimia kuweka mikakati thabiti kwa ajili ya kudhibiti ongezeko la ombaomba walemavu katika maeneo ya kitalii mkoani Pwani Kenya.
Utafiti uliofanywa hivi karibuni unaonesha kwamba, asilimia kubwa ya ombaomba hao ambao hujitokeza zaidi siku za Ijumaa na za mapumziko hutokea nchi jirani ikiwemo Tanzania.
Mwandishi wa Radio Tehran amefuatilia habari hiyo na kutuandalia ripoti hii. Gonga katika picha kusikiliza ripoti hiyo
Tags