-
Vita vya kisaikolojia vya kukaririwa vya Wamagharibi dhidi ya Iran
Sep 14, 2024 08:09Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine, amekiri baada ya wimbi la habari za uwongo dhidi ya Iran kuwa hana ushahidi wowote kuhusu kutumwa Russia makombora ya Iran.
-
Safari ya mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Uingereza nchini Ukraine
Sep 13, 2024 22:50Safari ya Anthony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akiwa na mwenzake wa Uingereza David Lemmy nchini Ukraine sio tu haitoi ujumbe mzuri kwa ajili ya kumaliza vita vya nchi hiyo na Russia, bali inatoa ishara mbaya ya kuongezeka moto wa vita hivyo.
-
Azma ya Iran na Iraq ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Sep 13, 2024 08:16Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na viongozi wa Iraq wamesisitiza nia na azma ya serikali za Tehran na Baghdad kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kieneo.
-
Radiamali ya Iran kwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Shirika la Ndege la Iran Air
Sep 12, 2024 23:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.
-
Mdahalo wa kwanza wa uchaguzi wa rais wa Marekani kati ya Harris na Trump
Sep 12, 2024 03:56Mgombea wa chama cha Demokrat Kamala Harris na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump katika uchaguzi wa urais wa Marekani wa Novemba 5, 2024, walishiriki katika mdahalo wao wa kwanza siku ya Jumanne usiku, Septemba 10.
-
Malengo ya kimkakati ya Netanyahu kupitia mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza
Sep 11, 2024 22:54Utawala bandia na wa ubaguzi wa rangi wa Israel unajiandaa kwa awamu inayofuata ya vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Safari ya Pezeshkian mjini Baghdad; kupanuliwa na kuimarishwa uhusiano wa pande mbili za Iran na Iraq
Sep 11, 2024 07:04Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo aliwasili mjini Baghdad, ambako amekutana na kufanya mazungumzo na mashauriano na viongozi wa Iraq kwa lengo la kupanua na kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Maandamano makubwa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ya kupinga vita
Sep 10, 2024 22:50Vyombo vya habari vya Israel vimetangaza kuwa, takriban watu nusu milioni katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu (Israel) wametoa wito wa kusitishwa kwa vita vya Gaza kwa kufanya maandamano dhidi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na baraza lake la mawaziri.
-
Kuendelea sera za ujirani katika serikali ya awamu ya 14 ya Iran
Sep 10, 2024 07:09Rais Masoud Pezeshkian wa serikali ya awamu ya 14 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, moja ya vipaumbele vya serikali katika uga wa siasa za nje ni kufuata siasa za ujirani.
-
Kusikika mayowe ya kuunga mkono Palestina barani Ulaya na Marekani
Sep 09, 2024 22:55Mjini London, Paris, Berlin, Geneva, Milan, The Hague, Stockholm, Amsterdam, Oslo na New York, ilishuhudia waandamanaji wakipiga nara dhidi ya utawala katili wa Israel kuunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.