-
Tukio la kumpoteza Rais wa Nchi ni miongoni mwa masuala muhimu katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 03, 2024 07:27Akizungumza leo Jumatatu katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 35 tangu aage dunia Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema tukio chungu la kumpoteza rais wa nchi na taathira zake ni tukio muhimu zaidi nchini Iran katika mwaka mmoja uliopita.
-
Mikakati athirifu ya Iran ya kutatua migogoro ya kikanda na Palestina
Jun 02, 2024 23:30Katika miaka ya hivi karibuni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na mikakati madhubuti na athirifu katika matukio ya kieneo na kimataifa ikiwemo kadhia ya Palestina.
-
Kuendelea uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza
Jun 02, 2024 03:01Wananchi wa maeneo tofauti ya dunia wanaendela kufanya maandamano na mikusanyiko kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu na wanaosimama imara wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza juu ya kusimamishwa jinai za utawala wa Kizayuni katika ukanda huo.
-
Mafanikio ya kihistoria ya kudumu ya Shahid Raisi aliyekufa shahidi na wenzake, katika sekta ya mafuta na gesi
Jun 01, 2024 22:52Tangu kuingia madarakani serikali ya awamu ya 13, miradi mikubwa 132 ambayo ilikuwa haijakamilika yenye thamani ya dola bilioni 28.5 imekamilika katika sekta ya mafuta na gesi, na wakati huo huo kuanza utekelezaji wa miradi mipya 50 yenye thamani ya dola bilioni 47.5.
-
Wagombea wa uchaguzi wa Rais wa Iran wazidi kujiandikisha kwa ajili ya kinyang'anyiro hicho
Jun 01, 2024 08:36Hadi sasa idadi ya watu waliojiandikisha kugombea kiti cha urais nchini Iran imeongezeka hadi 9 baada ya watu wanne zaidi kujiandikisha kuwania nafasi hiyo.
-
Umuhimu na taathira za wimbi jipya la operesheni za vikosi vya Yemeni katika Bahari Nyekundu dhidi ya vikosi vya Marekani
May 31, 2024 22:49Vikosi vya Yemen vimefanikiwa kutekeleza oparesheni mpya kadhaa dhidi ya meli zinazosindikizwa na manowari za Marekani katika Bahari Nyekundu na ya Mediterania.
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa wanachuo wa Marekani wanaotetea Palestina
May 31, 2024 03:58Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika barua aliyowaandikia wanachuo wenye utu wanaotetea wananchi wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani, ameonyesha mshikamano wake na maandamano ya wanachuo hao dhidi ya uzayuni na kuwataja kuwa sehemu ya mrengo wa muqawama.
-
Kushambulia Rafah; kipaumbele cha Israeli na kupuuzwa matakwa ya kimataifa
May 30, 2024 23:07Huku ukiwa umepuuza matakwa na maonyo ya kimataifa kuhusu athari na matokeo hatari ya kibinadamu ya kushambuliwa mji wa mpakani wa Rafah ulioko kusini mwa Ukanda wa Gaza, utawala wa Kizayuni umetuma vikosi vya kivita katika eneo hilo, ambapo vinaua kikatili wakazi wake bila kujali lolote.
-
Kupunguza umaskini na kuimarisha uchumi nchini ni urithi mwingine wa Shahid Rais Raisi
May 30, 2024 02:22Ehsan Khanduzi, msemaji wa masuala ya kiuchumi wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Dunia, kiwango cha umaskini nchini kimepungua kwa asilimia 7.4 kutoka asilimia 29.3 hadi 21.9.
-
Matokeo ya hatua ya kijinai ya utawala wa Kizayuni ya kuishambulia Rafah
May 29, 2024 22:51Kitendo cha jinai cha utawala wa Kizayuni cha kushambulia makazi na mahema ya wakimbizi wa Kipalestina katika mji wa Rafah kusini mwa ukanda wa Gaza kitakuwa na taathira mbalimbali kwa viongozi watenda jinai wa utawala huo haramu katika ngazi ya kieneo na kimataifa.