-
Kuendelea maandamano dhidi ya Israel nchini Uturuki
May 29, 2024 05:58Maandamano ya wananchi wa Uturuki ya kulalamikia siasa za kijeshi na mauaji yanayofanywa na utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya watoto wachanga katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina, bado yanaendelea.
-
Kuongezeka biashara ya nje ya Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 29, 2024 00:55Takwimu zilizochapishwa na Kituo cha Takwimu cha Umoja wa Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa mabadilishano ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wanachama 27 wa umoja huo yaliongezeka kwa asilimia 8 katika robo ya kwanza ya mwaka huu ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka iliopita.
-
Kuanza mchakato nchini Iran wa kufanyika uchaguzi wa Rais wa kabla ya wakati
May 28, 2024 04:59Iran imeanzisha mchakato wa uchaguzi wa mapema wa rais ambao umepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni.
-
Azma ya dhati ya Iran na Saudi ya kudumisha na kuimarisha ushirikiano
May 27, 2024 23:20Saudi Arabia ikiwa na lengo la kutoa heshima na mkono wa pole kwa taifa na wananchi wa Iran kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi ilituma hapa mjini Tehran ujumbe uliokuwa ukiongozwa na mjumbe maalumu wa Mfalme wa nchi hiyo sambamba na Waziri wa Mashauri ya kigeni wa nchi hiyo.
-
Kuendelea uthabiti wa sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 27, 2024 06:57Baada ya kufa shahidi Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Hossein Amir Abdullahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya 13, suala la kudumishwa uthabiti wa siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepewa mazingatio makubwa.
-
Uamuzi wa Mahakama ya Hague kuhusu Rafah: Kushindwa kwingine kwa utawala wa Kizayuni
May 26, 2024 22:49Mahakama ya Kimataifa ya Haki iliyo na makao makuu yake mjini The Hague, Uholanzi , ambacho ni chombo cha juu zaidi cha mahakama cha Umoja wa Mataifa, iliamua Ijumaa, Mei 24, kwamba Israel lazima isimamishe "mara moja" mashambulizi yake ya kijeshi huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
UNICEF yatoa onyo kali kuhusu hatari ya vifo vya watoto wachanga katika Ukanda wa Gaza
May 26, 2024 03:27Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hatari ya vifo vya watoto wachanga wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza kutokana na kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni.
-
Kusifiwa kimataifa Shahidi Ebrahim Raisi
May 26, 2024 01:12Tarehe 30 mwezi huu wa Mei, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) litafanya marasimu ya kuenzi na kumkumbuka marehemu Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri wa Kiislamu Iran aliyekufa shahidi akiwa na viongozi wengine wa ngazi za juu kitaifa, katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Ujumbe unaotokana na kuwepo kwa wingi viongozi wa kigeni mjini Tehran kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu rais wa Iran
May 25, 2024 02:38Viongozi wa nchi 68 na mashirika ya kieneo na kimataifa wametoa heshima zao za mwisho mjini Tehran kwa rais aliyeuawa shahidi akiwa na waziri wa mambo ya nje pamoja na viongozi wengine kwenye ajali ya helikopta iliyotokea kaskazini magharibi mwa nchi siku ya Jumapili.
-
Vikwazo vya China dhidi ya Marekani
May 24, 2024 22:34ikiwa ni katika kukabiliana na mashinikizo ya vikwazo na pia uuzaji wa silaha za Marekani katika eneo la Taiwan, China imepitisha vikwazo dhidi ya makampuni 12 yanayuhusiana na viwanda vya kijeshi vya Marekani na wasimamizi wakuu wa mashirika hayo.