-
Hatua ya serikali ya Niger ya kufuta makubaliano ya kijeshi na Marekani
Mar 19, 2024 23:06Amadou Abdurrahman, Msemaji wa Serikali ya Niger, ametangaza kupitia taarifa kwamba nchi hiyo imefuta makubaliano yote ya kijeshi na Marekani ambayo yaliruhusu nchi hiyo ya Magharibi kuweka majeshi yake katika ardhi ya Niger.
-
Ushindi mkubwa wa Putin katika uchaguzi wa rais wa Russia
Mar 19, 2024 02:42Tume Kuu ya Uchaguzi ya Shirikisho la Russia imetangaza kuwa Vladimir Putin, rais wa sasa wa nchi hiyo, ameshinda uchaguzi wa karibuni kwa asilimia 87.32 ya kura na hivyo kupata fursa nyingine ya kuwa rais wa Russia kwa muhula mwingine wa miaka sita. Kwa mujibu wa tangazo la tume hiyo, kiwango cha ushiriki katika uchaguzi kilikuwa cha zaidi ya asilimia 70.
-
Kuwekwa vikwazo vipya dhidi ya Iran
Mar 18, 2024 23:09Wizara ya Fedha ya Marekani kwa mara nyingine imeamua kuweka vikwazo vipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makundi ya Palestina yako tayari kukabiliana na njama za pamoja za Marekani na utawala wa Kizayuni
Mar 18, 2024 04:05Mustafa al-Barghouthi, Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa ya Palestina ametahadharisha kuhusu njama mpya ya pamoja ya serikali ya Marekani na utawala haramu wa Israel kuhusu ujenzi wa bandari au gati la muda huko Gaza.
-
Joe Biden akiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Mar 17, 2024 23:03Ijumaa, Februari 15, Rais Joe Biden wa Marekani huku akikiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo tangu kuanza mashambulizi ya Wazayuni huko Gaza alisema: 'Waislamu kote duniani wanapitia hali ngumu kutokana na imani yao.'
-
Makundi ya mapambano ya Palestina yakosoa hatua ya Mahmoud Abbas ya kumteua waziri mkuu mpya
Mar 17, 2024 04:47Mahmoud Abbas, Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, amemteua Mohammad Mustafa kwa ajili ya kuunda baraza jipya la mawaziri, hatua ambayo imekosolewa na makundi ya muqawama ya Palestina.
-
Vikwazo vya upande mmoja; ukiukaji wa haki za binadamu
Mar 16, 2024 22:40Balozi na Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika makao ya Umoja wa Mataifa barani Ulaya huko Geneva Uswisi amesema kuwa leo hii madhara ya vikwazo haramu vya upande mmoja yamedhihirika wazi mbele ya walimwenu ambapo vimefanya hali ya migogoro ya kibinadamu kuwa mbaya zaidi sambamba na kuchochea ukiukwaji wa haki za kimsingi za binadamu.
-
Watoto wa Gaza; wahanga wakuu wa jinai za utawala wa Kizayuni
Mar 16, 2024 07:46Kuchapishwa picha za vifo vya kutisha vya watoto wa Ukanda wa Gaza kutokana na njaa kwa mara nyingine tena kumepelekea kupuuziliwa mbali madai ya haki za binadamu yanayotolewa na nchi za Magharibi.
-
Ombi la jamii ya Shia wa Afghanistan kwa kundi la Taliban
Mar 15, 2024 22:52Wawakilishi wa jamii ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan wamewasilisha mapendekezo yao ya maandishi kwa Mohammed Abdul Kabir, naibu wa masuala ya kisiasa wa Waziri Mkuu wa utawala wa Taliban.
-
Jaribio la Marekani eti la kusimamisha vita huko Gaza, mbinu ya kugeuza maoni ya umma
Mar 15, 2024 12:55Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amezungumzia matukio ya hivi karibuni katika eneo la Asia Magharibi hususan Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa hakuna anayeamini madai ya Washington ya kujaribu kusimamisha vita vya Gaza.