-
Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington
Jan 08, 2026 06:36Ikulu ya Marekani, White House, imetangaza kuwa, Donald Trump ametoa amri ya kujitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa ambazo Washington inadai kuwa hazitumikii tena maslahi ya Marekani.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel huko Somaliland; Tel Aviv katika njia ya kuyumbisha amani Pembe ya Afrika
Jan 07, 2026 23:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel amefanya safari huko Hargeisa, mji mkuu wa eneo la Somaliland, akiongoza ujumbe rasmi wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Jan 07, 2026 06:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Je, Greenland ni Venezuela inayofuata?
Jan 06, 2026 23:28Waziri Mkuu wa Denmark amepinga madai mapya ya Donald Trump kuhusu kuimiliki eneo la Greenland na kuitaka Washington ikome kutoa vutisho dhidi ya mshirika wake huyo wa kihistoria.
-
Hatari za kisiasa na kiusalama za hatua ya utawala wa Israel ya kutambua rasmi Somaliland
Jan 06, 2026 07:04Kufuatia hatua ya utawala wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la Somaliland huko Somalia kama nchi huru, kumetolewa maonyo kuhusu matokeo hatari ya kisiasa na kiusalama ya kitendo hicho.
-
Mijibizo ya kimataifa kwa mgogoro wa Venezuela; msisitizo juu ya diplomasia, kuachiliwa Maduro, na kuhuishwa demokrasia
Jan 05, 2026 23:51Kufuatia shambulio la kijeshi la Marekani dhidi ya Venezuela na kukamatwa kwa rais wa nchi hiyo, viongozi mbalimbali wa dunia na serikali walionyesha wasiwasi kuhusu matokeo ya hatua hii na kutoa wito wa suluhu ya kidiplomasia ya mgogoro huo, kuheshimiwa kwa sheria za kimataifa, na kurejea kwenye michakato ya kidemokrasia.
-
Kukariri Rais wa Marekani kauli za uingiliaji kati; Je, Trump anawajali sana watu wa Iran?
Jan 05, 2026 08:27Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri kauli zake za uingiliaji kati dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia matukio ya hivi karibuni hapa nchini.
-
Kwa nini dunia imelaani hatua za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela?
Jan 04, 2026 23:12Hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, imekabiliwa na wimbi kubwa la laana na ukosoaji mkubwa kote duniani.
-
Umoja wa wananchi na uongozi wenye busara: Siri ya kumshinda adui katika vita laini
Jan 04, 2026 08:41Marekani na washirika wa Ulaya wa Ikulu ya White House wameshindwa katika vita laini dhidi ya Iran ya Kiislamu, licha ya kutumia kiwango kikubwa cha fedha na mashirika ya propaganda na kuenea kwa uwongo.
-
2025, mwaka wa kushindwa uchumi wa Marekani
Jan 04, 2026 02:40Gazeti la Marekani la Axios limeandika kuwa: Katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2025, ambao ulikuwa mwaka wa kwanza wa urais wa Donald Trump, uchumi wa Marekani ulifika kwenye ukingo wa mgogoro kutokana na mfumuko wa bei, kupungua kwa ajira, na kutoridhika kwa umma.