Uchambuzi
  • Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Nov 14, 2023 05:53

    Licha ya kupita karibu siku 40 tangu ilipotokea operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa na radiamali ya utawala wa Kizayuni kwa operesheni hiyo kwa kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na kuuawa maelfu ya Wapalestina na uharibifu mkubwa wa eneo hilo, lakini baadhi ya madola ya Magharibi yakifungamana na Waziri Mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, bado yangali yanapinga usitishaji wa vita hivi vya umwagaji damu.

  • Kuendelea vita vya pande zote dhidi ya Gaza na kufunguliwa pande mpya za vita

    Kuendelea vita vya pande zote dhidi ya Gaza na kufunguliwa pande mpya za vita

    Nov 14, 2023 02:03

    Kuendelea mashambulizi ya pande zote ya jeshi la utawala katili wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, kumekiuka sheria zote za kimataifa, zikiwemo za vita, ambapo utawala huo unaopata uungaji mkono na ushirikiano mkubwa wa nchi za Magharibi, umepata kiburi cha kuendeleza jinai za kutisha dhidi ya Wapalestina.

  • Siku 37 za vita vya Gaza

    Siku 37 za vita vya Gaza

    Nov 13, 2023 22:54

    Jumapili vita vya Ghaza viliingia katika siku ya 37 , huku utawala wa Kizayuni ukiendeleza mashambulizi na jinai zake za kinyama dhidi ya wakazi wa Gaza na hasa kwa kushambulia kikatili hospitali, shule, kambi za wakimbizi, wahudumu wa afya, wagonjwa na majeruhi kwa uungaji mkono wa moja kwa moja wa Marekani.

  • Hasira ya Waaustralia dhidi ya utawala wa Kizayuni na uungaji mkono kwa Palestina

    Hasira ya Waaustralia dhidi ya utawala wa Kizayuni na uungaji mkono kwa Palestina

    Nov 13, 2023 11:20

    Sambamba na jamii ya kimataifa, maelfu ya Waaustralia wamefanya maandamano makubwa dhidi ya Wazayuni wanaokalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina, ambapo si tu wamelaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza, bali pia wamezuia meli ya Israel kutia nanga katika Bandari ya Botany, mjini Sydney.

  • Nukta mbili mpya katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu vita vya Gaza

    Nukta mbili mpya katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu vita vya Gaza

    Nov 13, 2023 01:51

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon juzi Jumamosi alitoa hotuba yake ya pili kuhusu vita vya Gaza kwa mnasaba wa Siku ya Mashahidi. Hotuba hiyo ambayo imetolewa wiki moja baada ya ile ya kwanza ina nukta mbili muhimu za kuzingatiwa.

  • Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Nov 12, 2023 23:17

    Licha ya madai ya kuheshimiwa uhuru wa kujieleza katika nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna mistari miekundu katika uwanja huo, likiwemo suala la kutetea kadhia ya Palestina, ambapo waungaji mkono wa taifa hilo linalodhulumiwa hukabiliwa na vikwazo vya aina mbalimbali vikiwemo vya kuadhibiwa na kufungwa jela.

  • Umuhimu wa nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo kwa ajili ya kuwatetea watu wa Palestina

    Umuhimu wa nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo kwa ajili ya kuwatetea watu wa Palestina

    Nov 12, 2023 06:30

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hotuba yake katika kikao cha dharura cha wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu mjini Riyadh Saudi Arabia amesema kuhusu vita vya Ghaza: Leo hii suala la Ghaza ni makabiliano baina ya mhimili wa sharafu na mhimili wa uovu, na kila mtu anapaswa kubainisha yuko upande gani.

  • Mauaji na uharibifu wa makusudi; kusambaratishwa mfumo wa afya na matibabu Gaza

    Mauaji na uharibifu wa makusudi; kusambaratishwa mfumo wa afya na matibabu Gaza

    Nov 12, 2023 02:49

    Utawala wa kigaidi wa Israel umekuwa ukishambulia kila siku hospitali na vituo vya matibabu na afya katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kuharibu na kusambaratisha kabisa mfumo wa huduma za afya katika ukanda huo.

  • Kuongezeka hasira za kimataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Kuongezeka hasira za kimataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Nov 11, 2023 23:37

    Sambamba na kuendelea vitendo vya jinai vya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, ambavyo hadi sasa vimepelekea kuuawa shahidi zaidi ya Wapalestina elfu 11 na kujeruhiwa wengine zaidi ya elfu 27, hasira na ukosoaji wa kimataifa unaendelea kuongezeka kwa kadiri kwamba mbali na maandamano makubwa yanayofanyika katika pambe tofauti za dunia, baadhi ya wanasiasa wa Magharib pia wanaukosoa utawala huo kutokana na ukatili wake wa kutisha dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.