Uchambuzi
  • Kuendelea bila kusita jinai za kivita katika siku ya 32 ya mashambulizi ya pande zote huko Gaza

    Kuendelea bila kusita jinai za kivita katika siku ya 32 ya mashambulizi ya pande zote huko Gaza

    Nov 07, 2023 06:42

    Kushadidi mashambulio ya kila upande dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusimama kidete vikosi vya muqawama wa Palestina dhidi ya kupenya ardhini kwa jeshi la Israel katika maeneo ya Gaza ni miongoni mwa habari za hivi karibuni kabisa kuhusiana na Palestina.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq Tehran wakati wa mgogoro wa Gaza

    Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq Tehran wakati wa mgogoro wa Gaza

    Nov 07, 2023 04:16

    Waziri Mkuu wa Iraq Mohammad Shia al-Sudani, jana asubuhi akiwa ziarani hapa mjini Tehran alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Kuongezeka  upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi

    Kuongezeka upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi

    Nov 06, 2023 23:01

    Mwezi mmoja ukiwa umepita tangu kujiri operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na utawala wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi makali ya mabomu ambayo hajawahi kushuhudiwa tena huko Ghaza, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya maelfu ya Wapalestina, wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake, mwenendo wa upinzani dhidi ya vitendo hivyo vya jinai vya Israeli, umeongezeka sana duniani ikiwa ni pamoja na nchini Marekani, ambayo ni mwitifaki mkubwa wa Tel Aviv.

  • Radiamali kuhusu tishio la nyuklia la utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza

    Radiamali kuhusu tishio la nyuklia la utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza

    Nov 06, 2023 05:00

    Tishio la mjumbe wa baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni la kutumia bomu la nyuklia dhidi ya watu wa Ghaza kwa mara nyingine tena limedhihirisha unyama na ukatili wa utawala huo.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya ulazima wa mataifa ya Kiislamu kuwaunga mkono wananchi wa Gaza

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya ulazima wa mataifa ya Kiislamu kuwaunga mkono wananchi wa Gaza

    Nov 06, 2023 02:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), kwa mara nyingine tena ameshukuru na kusifu subira na muqawama wa wananchi wenye msimamo thabiti wa Gaza na kueleza masikitiko yake makubwa kwa jinai za utawala wa Kizayuni zinazofanywa kwa himaya na uungaji mkono wa moja kwa moja wa Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi.

  • Hofu na wasiwasi wa Waisraeli kuhusiana na uwezekano wa kushtukizwa na Hizbullah

    Hofu na wasiwasi wa Waisraeli kuhusiana na uwezekano wa kushtukizwa na Hizbullah

    Nov 05, 2023 23:28

    Katika hali ambayo duru za Kizayuni bado zina wasiwasi kuhusu misimamo ya kimantiki na wakati huo huo isiyokuwa wazi ya Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kuhusiana na matukio ya hivi karibuni ya nchi hiyo na Palestina, Ehud Barak, waziri mkuu wa zamani wa utawala huo ghasibu amesema Hassan Nasrallah ni mtu mwerevu sana na anaweza kuchukua hatua isiyotarajiwa ya kuishtukiza Israeli.

  • Safari ya ujumbe wa kiuchumi wa Afghanistan nchini Iran

    Safari ya ujumbe wa kiuchumi wa Afghanistan nchini Iran

    Nov 05, 2023 06:20

    Ujumbe wa kiuchumi wa Afganistan umefanya safari nchini Iran kwa madhumuni ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wa pande mbili.

  • Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Nov 05, 2023 03:22

    Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa inakaribia kufika mwezi mmoja tangu itekelezwe huku jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel likiendelea kuwaua watu wa Ghaza na kujaribu kufidia kushindwa kwao katika vita vya nchi kavu kwa kuwaua raia kwa umati.

  • Hitilafu kati ya Warepublican and White House kuhusu msaada kwa Israel na Ukraine

    Hitilafu kati ya Warepublican and White House kuhusu msaada kwa Israel na Ukraine

    Nov 04, 2023 22:55

    Katika hali ambayo serikali ya Biden imetangaza kuunga mkono kikamilifu jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Ghaza na hata kupinga usitishaji vita, lakini suala la msaada wa kifedha kwa Israel ambalo linatiliwa maanani na Warepublican sambamba na mtazamo wa White ambayo inataka kutolewa kwa wakati mmoja misaada ya fedha na silaha kwa Ukraine limezusha hitilafu kubwa kati ya Kongresi na White House.