-
Kumalizika muda wa Azimio 2231 la Baraza la Usalama; Iran yasisitiza kuondolewa vikwazo, yaungwa mkono na nchi 121
Oct 18, 2025 12:41Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikitangaza kumalizika muda wa Azimio nambari 2231.
-
Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?
Oct 18, 2025 02:29Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Indhari ya Human Rights Watch Ulaya-Mediterranean dhidi ya kuendelea Israel kutumia njaa kama wenzo wa mauaji ya halaiki
Oct 17, 2025 12:25Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Mediterania limetahadharisha katika taarifa yake kwamba, hatari ya njaa bado haijaondolewa huko Gaza, na kuendelea kupunguzwa kwa makusudi misaada ya kibinadamu kunadhihirisha kuwa utawala wa Israel unaendelea kutumia sera ya njaa kama wenzo wa mauaji ya halaiki.
-
Gaza, miaka miwili katika moto na damu; kilio kisicho na majibu katika kimya cha dunia
Oct 17, 2025 02:14Mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha kuibuka migogoro 15 ya kimsingi kwa wakazi wa eneo hilo.
-
Kuihami Palestina na kuimarisha ushirikiano wa pande kadhaa; Msimamo wa Iran katika Mkutano wa NAM
Oct 16, 2025 10:51Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambao ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Kampala, mji mkuu wa Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM).
-
Jinai za Marekani nchini Syria
Oct 15, 2025 08:44Marekani imekuwa nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na ISIS na imefanya jinai nyingi nchini humo.
-
Kwa nini makundi ya Palestina yanakichukulia Kikao cha Sharm el-Sheikh kuwa kisicho na maana?
Oct 15, 2025 07:44Harakati ya Hamas imetoa tamko bila kutilia maanani mkutano wa kilele wa "Sharm al-Sheikh" ikisisitiza udharura wa kuzingatiwa haki halali za Wapalestina.
-
Mgogoro wa ukosefu wa makazi katika Umoja wa Ulaya; je, bara la Ulaya linaweza kuhuisha ndoto ya haki ya kijamii?
Oct 15, 2025 02:31Umoja wa Ulaya unakabiliwa na idadi kubwa ya watu wasio na makazi inayoongezeka kwa kasi, mzozo ambao unachukua sura mpya kila siku.
-
Ndoto ya ushindi; mzozo mpya katika siasa za ndani za Israel baada ya makubaliano ya amani
Oct 14, 2025 06:14Makubaliano ya amani ya Trump, licha ya madai ya Netanyahu kuwa ni "ushindi," yamewakasirisha Wazayuni wengi.
-
Kwa nini mwenendo wa kukabiliana na sarafu ya dola umeshika kasi duniani?
Oct 14, 2025 02:36Hisa ya sarafu ya Yuan ya China katika malipo ya biashara na upokeaji imefikia takriban 53%, na kuipita hisa ya dola ya 47%. Mabadiliko haya ya kihistoria yanakuja katika hali ambayo mwaka 2010 hisa ya Yuan katika biashara ya nje ya China takribani ilikuwa sifuri.