-
Siku ya Nakba na maandamano ya Wazungu
May 15, 2023 02:02Mwaka huu, umri wa utawala haramu wa Israel umeingia katika mwaka wake wa 75, huku Wazayuni wakiendelea kufanya jinai za kutisha dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, wanawake na watoto wakiwa wahanga wakuu wa jinai hizo.
-
Mahesabu ghalati ya adui; sababu kuu ya jinai za hivi karibuni za Israel dhidi ya Gaza
May 14, 2023 22:09Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria jinai za hivi karibuni za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kueleza kwamba, mahesabu yasiyo sahihi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ndio sababu halisi ya kuibuka vita hivi.
-
Kupuuza Misri takwa la Marekani dhidi ya Russia; ishara ya kufifia ushawishi wa Marekani
May 14, 2023 10:28Gazeti la Wall Street Journal limetangaza kuwa, Misri imepuuzilia mbali takwa la Marekani kwa nchi hiyo la kutoruhusu ndege za kijeshi za Russia kupita katika anga yake.
-
Ujumbe wa kuchaguliwa Iran kama mwenyekiti wa Jukwaa la Kijamii la Haki za Kibinadamu
May 13, 2023 21:54Ali Bahraini, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashirika ya kimataifa mjini Geneva amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kikao cha 19 cha Jukwaa la Kijamii la Baraza la Haki za Binadamu mwaka 2023.
-
Makubaliano ya awali ya pande zinazozozana Sudan kwa ajili ya kusitisha mapigano
May 13, 2023 03:52Hatimaye baada ya siku tatu za mazungumzo magumu ya kurudisha amani nchini Sudan, pande mbili zinazohasimiana zimetia saini taarifa na kukubaliana kuwa maslahi ya watu wa nchi hiyo yapewe kipaumbele. Pande hizo zimekubali kuchukua hatua zote za lazima ili kutowadhuru raia na kuwaruhusu waondoke kwenye maeneo yenye mapigano na yaliyozingirwa.
-
Jibu la Iran kwa azimio la kiadui la bunge la Uswidi
May 12, 2023 22:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa hatua ya bunge la Uswidi ya kupitisha azimio dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, imeathiriwa na makundi ya kigaidi yaliyokataliwa na taifa la Iran na kwamba ni kinyume na viwango na sheria za kimataifa.
-
Kuendelea mashambulizi ya kigaidi na majibu ya makundi ya mapambano ya Palestina
May 12, 2023 03:44Katika siku ya tatu ya duru mpya ya mashambulizi ya kigaidi ya Wazayuni katika Ukanda wa Gaza, Alhamisi asubuhi ndege za kivita za Israel zilishambulia jengo la makazi huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, ambapo Wapalestina watatu akiwemo kamanda mwingine wa Brigedi ya al-Quds na ndugu yake waliuawa, na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Miaka mitano baada ya kujitoa Marekani katika JCPOA; “kusimama kidete kwa kiwango cha juu kabisa” mkabala wa “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa”
May 11, 2023 21:42Miaka mitano iliyopita (8 Mei 8 2018) aliyekuwa Rais wa Marekani wakati huo alitangaza rasmi kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi (JCPOA).
-
Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake
May 11, 2023 07:54Kikao cha kwanza cha pande nne cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Syria, Uturuki na Iran kuhusiana na Syria kilifanyika Jumatano ya jana huko Moscow mji mkuu wa Rusia.
-
Kuaga kwa uchungu kwa mwanamke na msichana wa Kipalestina, na kimya cha Wamagharibi mbele ya jinai ya Kizayuni
May 10, 2023 23:37Katika mashambulizi yaliyofanywa juzi na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ambapo Wapalestina 15 waliuawa shahidi, zilichapishwa picha za uchungu huzuni za mwanamke na msichana mdogo wakiwaaga watu wa familia zao waliouliwa na jeshi la Israel, jambo ambalo limeumiza nyoyo na kuwatia watu simanzi na huzuni kubwa.