-
Jinai mpya ya baraza la mawaziri lililofeli la Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza
May 10, 2023 07:06Katika kuendeleza jinai zake, utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 13 wakiwemo makamanda watatu wa ngazi za juu wa Saraya al-Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihad Islami ya Palestina katika mashambulizi kadhaa ya kigaidi kwenye maeneo ya Ukanda wa Ghaza.
-
Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran, jinai ya wazi ya Wamagharibi
May 09, 2023 21:53Mkuu wa Jumuiya ya Kuwahami Wagonjwa wa Thalassemia nchini Iran amesema kuwa, wagonjwa 662 wa ugonjwa huo wamefariki dunia humu nchini katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, kutokana na kukosa dawa kwa sababu ya vikwazo vya kidhalimu vya nchi za Magharibi dhidi ya wananchi wa Iran.
-
Nafasi muhimu ya Oman katika mfumo wa kisiasa na kiusalama wa Asia Magharibi
May 09, 2023 02:13Oman ni miongoni mwa nchi ambazo zina nafasi muhimu katika mfumo wa kisiasa na kiusalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Jibu na hatua za serikali ya India dhidi ya uasi uliozuka katika majimbo manane ya nchi hiyo
May 08, 2023 21:53Uasi katika jimbo la Manipur umeilazimisha serikali ya India kutuma vikosi vya uchukuaji hatua za haraka na kuweka marufuku ya kutotoka nje katika miji minane tofauti ya nchi hiyo.
-
Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; takwa la Damascus au Arab League?
May 08, 2023 02:06Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiarabu walikubaliana katika mkutano wao waliofanya jana Jumapili tarehe 7 Mei mjini Cairo kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), baada ya kusimamishwa uwanachama wake kwa muda wa takriban miaka 12.
-
Onyo dhidi ya wapinzani wa mfumo wa kifalme nchini Uingereza
May 07, 2023 23:34Kufuatia maandamano ya maelfu ya watu wanaoipinga familia ya kifalme ya Uingereza katika mji wa London, mbunge mmoja wa ngazi ya juu wa chama tawala cha kihafidhina cha nchi hiyo, ametoa matamshi yenye utata, akitaka wapinzani hao wafukuzwe nchini ikiwa hawawezi kumkubali mfalme wa nchi hiyo.
-
Tuhuma isiyo na msingi na jibu kali la Iran
May 07, 2023 04:11Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, ameashiria kwenye ukurasa wake binafsi katika mtandao wa Twitter, matamshi yaliyotolewa karibuni na Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani, kuwa iwapo Iran itajaribu kutengeneza bomu la nyuklia, Washington itatambua rasmi uamuzi wa Israel wa kukabiliana na hali hiyo.
-
Matamshi ya Zardari kuhusu nafasi ya Afghanistan kwa ajili ya amani duniani
May 06, 2023 22:49Bilawal Bhutto Zardari Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema katika mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai huko India kuwa afghanistan ni ufunguo wa amani na uthabiti duniani.
-
Sherehe za kumvika taji Mfalme Charles wa III na kupingwa vikali mfumo wa kifalme huko Uingereza
May 06, 2023 07:43Mwana mkubwa wa kiume wa mwendazake Malkia Elizabeth II wa Uingereza, yaani Charles III kutoka familia ya safu ya utawala wa kifalme wa kurithishana ya Windsor, leo Jumamosi tarehe 6 Mei amevikwa taji la Mfalme wa Uingereza huko Westminster Abbey jijini London . Charles wa Tatu alitambulishwa katika hafla kama mfalme tokea Septemba mwaka jana 2022, kufuatia kifo cha mama yake.
-
Uchaguzi Mkuu wa Mei 14 nchini Uturuki na ahadi za wanasiasa
May 05, 2023 22:05Ahadi za kila namna za wanasiasa zimepamba moto hivi sasa katika wakati huu wa kukaribia chaguzi mbili muhimu mno na za wakati mmoja za rais na bunge nchini Uturuki.