-
Jibu la kishujaa la binti wa Kipalestina kwa jinai za Wazayuni
May 05, 2023 05:02Binti mmoja wa Palestina ametekeleza operesheni ya kishujaa ya kujitoa kufa shahidi ili kujibu jinai za mtawalia za wanajeshi makatili wa Israel na walowezi wa utawala huo pandikizi.
-
Juhudi za kuleta mapatano nchini Sudan
May 04, 2023 22:50Katika hali ambayo vita nchini Sudan vimeingia katika wiki yake ya tatu juhudi za kieneo na kimataifa za kusitisha vita na kuzishajiisha pande mbili kukaa katika meza moja ya mazungumzo ili kuupatia ufumbuzi mzozo huo zinaendelea.
-
Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya Iran na Syria
May 04, 2023 06:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria kwa mwaliko rasmi wa rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad.
-
Kuibuka na kuanguka kwa ISIS nchini Syria na mchango mkubwa wa Shahidi Soleimani katika kushindwa kwa Daesh
May 03, 2023 22:02Hapana shaka yoyote kwamba, kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limekuwa miongoni mwa vitisho vikubwa zaidi katika eneo la Asia Magharibi katika muongo mmoja uliopita hususan katika nchi za Syria na Iraq ambazo zilipatwa na hasara kubwa katika nyuga mbalimbali kutokana na hujuma na mashambulizi ya wapiganaji wa kundi hilo.
-
Matarajio tofauti kutoka kwenye mkutano wa Doha kuhusu Afghanistan
May 03, 2023 05:38Doha, mji mkuu wa Qatar, ambayo katika miaka ya hivi karibuni umekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mikutano mbalimbali kuhusu Afghanistan, kuanzia jana ulikuwa tena mwenyeji wa mkutano wa siku mbili unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ambao unahudhuriwa na wawakilishi maalumu wa nchi 25 na mashirika ya kimataifa yanayojihusisha na masuala ya Afghanistan.
-
Mabadiliko ya wazi katika mtazamo wa Wamarekani kuhusu utawala wa kibaguzi wa Israel
May 02, 2023 21:55Hivi sasa kunashuhudiwa mabadiliko ya wazi katika mtazamo wa Wamarekani kuhusu utawala dhalimu wa Kizayuni kutokana na kuongezeka sana misimamo mikali na ya kibaguzi ndani ya utawala huo pandikizi. Idadi ya Wamarekani wanaoamini kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni wa kibaguzi, imeongezeka.
-
Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu kusambaratika hali ya kibinadamu nchini Sudan
May 02, 2023 04:04Martin Griffiths, mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kabla ya kuelekea nchini Sudan kwamba hali ya kibinadamu nchini humo ni mbaya sana kiasi kwamba imefikia kwenye hatua ya kusambaratika kabisa. Amesema, utatuzi wa mgogoro wa Sudan hauwezi kupatikana kutokana na kuendelea vita hivyo.
-
Mashinikizo ya Marekani; kizingiti kikuu cha kufikiwa makubaliano ya Yemen na Saudi Arabia
May 01, 2023 21:51Katika hali ambayo, Saudi Arabia na Yemen zimepiga hatua muhimu kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Yemen, mashinikizo ya serikali ya Marekani kwa utawala wa Riyadh yamekuwa kikwazo na kizingiti kikuu cha kuhitimishwa vita hivyo.
-
Ushahidi mpya wa madai ya uwongo ya Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza
May 01, 2023 06:39Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" wakisaidiwa na askari polisi wa Ujerumani. Maafisa wa Ujerumani wanadai kuwa wazazi wa mtoto huyo wamekuwa wakimfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi
Apr 30, 2023 22:18Jana, tarehe 10 Ordibehest, 1402 Hijria Shamsia, ilikuwa siku ya kumbukumbu ya kufukuzwa wakoloni wa Kireno katika maji ya Kusini mwa Iran hapo mwaka 1622, na inatambuliwa nchini Iran kuwa Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi.