-
Kukutana rasmi Amir-Abdollahian na Faisal Farhan; kuhuishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran
Apr 06, 2023 09:23Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana leo katika mji mkuu wa China Beijing na kukubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayari wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.
-
Juhudi za kisiasa za Baraza la Haki za Binadamu za kuharibu sura ya Iran
Apr 05, 2023 22:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga azimio la kisiasa lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu dhidi ya Iran, na kusema kuwa upotoshaji wa wazi wa haki za binadamu kwa malengo ya kisiasa ni jambo la kusikitisha.
-
Kwa nini Israel inaogopa kuboreshwa uhusiano kati ya Iran, Syria na nchi za Kiarabu?
Apr 05, 2023 06:41Kuboreka uhusiano kati ya Syria na nchi za Kiarabu katika siku za hivi karibuni, hasa na Saudi Arabia, ambako kumefungua mlango wa kushiriki Rais wa Syria, Bashar Assad, katika mkutano ujao wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) huko Riyadh, kumeitia kiwewe na wasiwasi wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Upinzani wa Algeria dhidi ya uingiliaji wa kijeshi katika eneo la Sahel Afrika
Apr 04, 2023 22:48Katika hali ambayo, madola ya kigeni yamekuwa yakishindana kwa lengo la kupenya na kuingia barani Afrika na yamekuwa yakitumia visingizio mbalimbali kama vita dhidi ya ugaidi kwa ajili ya kufikia lengo hilo, Meja Jeneral Said Chengriha Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Taifa la Wananchi wa Ageria amesema tajiriba inaonyesha kuwa, uingiliaji wa kijeshi wa aina yoyote katika eneo ulikabiliwa na kushindwa kikamilifu.
-
Ugaidi; mbinu ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kujinasua na migogoro ya ndani
Apr 04, 2023 06:33Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kuuawa shahidi washauri wawili wa kijeshi wa Iran katika mashambulizi ya anga dhidi ya Syria na kueleza kwamba, hatua za kigaidi hazitabakia bila majibu.
-
Kulalamikia Chama cha Tahreek-e-Insaf uhusiano wa kibiashara wa Pakistan na utawala haramu wa Israel
Apr 03, 2023 22:40Chama cha Tahreek-e-Insaf cha Pakistan kimelalamikia kuweko uhusiano wa biashara ya bidhaa za chakula baina ya nchi hiyo na utawala haramu wa Israel na kimeitaka Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo kutoa maelezo kuhusiana na suala hilo.
-
Kukiri Biden kuhusu kutenga serikali ya Marekani bajeti kwa ajili ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi zingine
Apr 03, 2023 08:46Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa, nchi hiyo imetenga bajeti ya mabilioni ya dola ambayo yatatumika katika masuala ambayo ameyataja kama “kuufanya mwenge wa uhuru uendelee kuwaka”.
-
Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 02, 2023 23:53Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.
-
Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria
Apr 02, 2023 04:35Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 01, 2023 22:53Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.