-
Hatua ya kwanza ya Saudi Arabia kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai
Apr 01, 2023 10:18Baraza la Mawaziri la Saudi Arabia limeidhinisha uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq
Mar 31, 2023 23:43Seneti ya Marekani Jumatano wiki hii ilihitimisha kibali ilichokuwa imekitoa kwa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) mwaka 1999 na 2002 kwa ajili ya vita huko Iraq na imepasisha uamuzi wa kufutwa kibali cha Pentagon kwa ajili ya kutekeleza oparesheni za kijeshi huko Iraq bila ya kuhitaji idhini ya Kongresi.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia mjini Moscow
Mar 31, 2023 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Russia huko Moscow kuhusu uhusiano na masuala mengine yanayozihusu pande mbili.
-
Ahadi mpya ya Taliban kuhusu elimu ya wasichana
Mar 30, 2023 22:39Sher Mohammad Abbas Stanikzai, naibu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya Taliban akiwa safarini katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amezungumzia marufuku ya elimu kwa wasichana Waafghanistani na kusema milango ya elimu haipaswi kufungiwa yeyote.
-
Ripoti ya China kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Marekani
Mar 30, 2023 06:18China imetoa ripoti yake kuhusu hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Marekani katika mwaka uliopita wa 2022.
-
Umoja wa Ulaya na mchango wake katika uhalifu dhidi ya ubinadamu nchini Libya
Mar 29, 2023 22:45Wakati wimbi kubwa la wakimbizi linaendelea kumiminika Libya wakiwa na matumaini ya kuvuka bahari na kufika Ulaya, nchi hiyo ya Afrika sasa imekuwa Jahanamu kwa wakimbizi na wahamiaji, kiasi kwamba wengi wao wananyanyaswa kimwili na kiakili na hata kuuawa.
-
Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu
Mar 29, 2023 06:50Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali misimamo ya undumakuwili na ya kinafiki ya nchi za Magharibi katika kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi zinazopinga sera za nchi za Magharibi na kulegeza msimamo laini wa nchi hizo kwa baadhi ya washirika wao ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kuvunjiwa heshima tena Qur'ani Tukufu barani Ulaya; kimya kingine cha wanaodai kuwa vinara wa haki za binadamu
Mar 28, 2023 22:39Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani wimbi la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.
-
Mapitio ya safari ya Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Qatar nchini Iran
Mar 28, 2023 08:12Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Qatar amefanya safari hapa mjini Tehran ambapo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran.
-
Kukiri kamanda wa Marekani wa AFRICOM juu ya kutoa mafunzo kwa vinara wa mapinduzi barani Afrika
Mar 27, 2023 22:41Jenerali wa jeshi la Marekani amekiri kuwa "maadili ya msingi" ya Pentagon yanayofundishwa kwa makumi ya maelfu ya maafisa wa kijeshi wa Kiafrika yanaendana na mapinduzi ya kijeshi.