-
Kuongezeka malumbano kati ya serikali ya Netanyahu yenye msimamo mikali na jeshi la Kizayuni
Mar 02, 2023 23:10Mamia ya maafisa wa kitengo cha kijasusi cha Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameonya kwamba hawatahudumu tena jeshini iwapo mpango wa kurekebisha sheria ya mahakama katika utawala huo utaidhinishwa.
-
Kufukuzwa wanadiplomasia wa Ujerumani: Hatua mkabala ya Tehran kukabiliana na Berlin
Mar 02, 2023 06:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa amri ya kufukuzwa wanadiplomasia wawili wa Ujerumani kutokana na kuingilia kwao masuala ya ndani ya nchi.
-
Juhudi za Macron za kutetea kupunguzwa vikosi vya jeshi la Ufaransa barani Afrika
Mar 01, 2023 22:49Katika mkesha wa safari ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, barani Afrika ambayo inafanyika baada ya nchi hiyo kushindwa na kufeli sera zake barani Afrika; kiongozi huyo wa Ufaransa ametangaza kupunguzwa kwa vikosi vya jeshi vya Ufaransa katika bara hilo.
-
Ushindi wa mgombea wa chama tawala katika uchaguzi wa Nigeria na mustakbali wa nchi hiyo
Mar 01, 2023 10:39Kwa mujibu wa tangazo la Tume Huru ya Uchaguzi ya Nigeria (INEC), "Bola Ahmed Tinubu" aliyekuwa mgombea wa chama tawala cha "All Progressives Congress" ameshinda uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Sisitizo la Iran la ulazima wa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani mzozo wa Ukraine na Russia
Feb 28, 2023 22:48Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, serikali ya Tehran sambamba na kuheshimu mataifa yote mawili ya Ukraine na Russia na kuweko uhusiano mkongwe baina yake na nchi hizo mbili, kwa mara nyingine tena imeonyesha masikitiko yake makubwa iliyonayo kuhusiana na kuendelea vita na mapigano.
-
Sababu na umuhimu wa safari ya ujumbe wa Muungano wa Mabunge ya Kiarabu nchini Syria
Feb 28, 2023 07:20Baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja, hatimaye Jumapili ya juzi ujumbe wa Muungano wa Mabunge wa Kiarabu uliwasili Damascus mji mkuu wa Syria ukiongozwa na Mohamed al-Halbousi, Spika wa Bunge la Iraq. Siku hiyo hiyo, ujumbe huo ulikutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Mvutano usio na mfano wake katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; sura halisi ya Israeli
Feb 27, 2023 22:51Makumi ya maelfu ya Wazayuni wamekuwa wakiandamana kupinga baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu katika miji ya Tel Aviv, Haifa, Modi'in na Beersheba kwa wiki ya nane mfululizo.
-
Maandamano dhidi ya vita katika nchi za Ulaya
Feb 27, 2023 08:14Sambamba na kuendelea vita nchini Ukraine na hali mbaya ya kiuchumi na kijamii katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi barani humo wamefanya maandamano katika nchi kadhaa wakipinga sera za nchi za Magharibi na kuingilia kati vita vya Ukraine.
-
Onyo kali la Korea Kaskazini kwa Marekani
Feb 26, 2023 23:00Korea Kaskazini imetoa onyo kali kwa Marekani na kusema kuwa kuendelea vitendo vya kichochezi vya Marekani kunaweza kuhesabiwa kuwa ni kutangaza vita dhidi ya Pyongyang.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa 29 wa mauaji ya umati katika Msikiti wa Ibrahimi
Feb 26, 2023 07:23Jana Jumamosi tarehe 25 Februari 2023 ilisadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa 29 wa jinai na mauaji yaliyofanywa na Wazayuni dhidi ya Waislamu wa Palestina katika Msikiti wa Ibrahimi huko al Khalil.