-
Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine
Feb 25, 2023 22:54Rais Joe Biden wa Marekani ameeleza shaka yake kuhusu manufaa ya mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine. Akijibu mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine, Biden amesema kuwa mpango huo unainufaisha Russia pekee.
-
Ombi la Umoja wa Afrika la kukatwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 25, 2023 08:38Nchi 55 wanachama wa Umoja wa Afrika zimetoa wito wa kuvunjwa uhusiano wao na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaja utawala huo kuwa ni dola la kikoloni.
-
Onyo la Ismail Hania kwa Israel kuhusu matokeo mabaya ya kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu
Feb 24, 2023 23:13Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewapongeza wananchi wa Palestina kwa kuendelea kusimama imara na kutangaza kuwa, vita na adui Mzayuni vimeingia katika awamu mpya.
-
Makubaliano ya China ya Russia ya kukabiliana na mielekeo ya Marekani ya kutaka kuziburuza nchi zingine duniani
Feb 24, 2023 23:11Huku Marekani ikiendelea kung'ang'ania sera yake ya kujifanyia mambo kivyake na kutaka kuziburuza nchi zingine duniani, kwa mara nyingine tena muungano wa madola ya Asia na Ulaya unaendelea kuimarika na kupata nguvu zaidi.
-
Mahusiano ya pande mbili ya Iran na Iraq; mhimili wa mazungumzo ya Amir-Abdollahian mjini Baghdad
Feb 24, 2023 09:49Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko safarini nchini Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa nchi hiyo akiwemo Rais na Waziri Mkuu na kujadili uhusiano wa pande mbili na wa kieneo.
-
Hatua iliyochukuliwa haraka na Iran ya kujibu mapigo kwa vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya
Feb 23, 2023 04:47Katika kukabiliana na vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran, Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu imetoa orodha mpya ya vikwazo dhidi ya watu na taasisi kadhaa za Umoja wa Ulaya na Uingereza.
-
Juhudi za kuweko mwafaka wa makundi ya kisiasa kwa ajili ya uchaguzi nchini Libya
Feb 22, 2023 23:02Katika hali ambayo Libya ingali inakabwa koo na jinamizi la mgogoro mkubwa wa kisiasa, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika nchi hiyo ameyatolea mwito makundi ya kisiasa ya nchi hiyo kufikia mwafaka na kauli moja kuhusiana na kuitishwa uchaguzi mwaka huu sambamba na kuongeza ushirikiano kwa minajili ya kuhitimisha mkwamo wa sasa wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Onyo jipya la rais wa utawala wa Kizayuni kuhusu uwezekano wa kusambaratika utawala huo kutokea ndani.
Feb 22, 2023 05:13Kufuatia mgogoro wa ndani wa utawala haramu wa Israel na kuzuka hitilafu kali ambazo zimechochewa na mpango wa mageuzi ya mahakama, Rais Isaac Herzog wa utawala huo kwa mara nyingine tena ameonya dhidi ya uwezekano mkubwa wa kusambaratika utawala huo wa kibaguzi.
-
Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi
Feb 21, 2023 23:02Jumatatu ya tarehe 20 Februari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha rasimu ya azimio linalolaani uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso
Feb 21, 2023 07:22Hatimaye vikosi vya Ufaransa vimeondoka nchini Burkina Faso na kuhitimisha uwepo wake katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika uliodumu kwa miaka 10.