-
Tuhuma hizo kwa hizo na zisizo na msingi za Jamhuri ya Azerbaijan dhidi ya Iran
Feb 20, 2023 22:56Rais Ilham Aliyev wa Jamhuri ya Azerbaijan, kwa mara nyingine tena ametoa matamshi dhidi ya Iran bila kuonyesha nyaraka wala ushahidi wowote.
-
Unyama wa Israel wa kuishambulia kijeshi Syria wakati huu wa maafa makubwa ya tetemeko la ardhi
Feb 20, 2023 04:42Alfajiri ya kuamkia jana Jumapili ya tarehe 19 Februari, utawala katili wa Kizayuni wa Israel uliushambulia tena kijeshi mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Fedheha ya pili kubwa ya Israel baada ya Kombe la dunia Qatar; kutimuliwa kidhalili katika kikao cha Umoja wa Afrika
Feb 19, 2023 22:50Baada ya michuano ya soka ya Kombe la Dunia iliyofanyika nchini Qatar ambapo waandishi wa habari wa Kizayuni waliokuweko katika mashindano hayo walikuwa wakitumuliwa na watazamaji wa Kiarabu na wasiokuwa Kiarabu na kutokuwa tayari kufanya nao mahojiano, utawala haramu wa Israel umekumbwa na fedheha nyingine ya pili kubwa baada ya ujumbe wake wa kisiasa kutimuliwa kidhalili katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika huko Addis Ababa Ethiopia.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kuendelezwa uungaji mkono wa Iran kwa Palestina
Feb 19, 2023 08:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema sababu kuu ya kuzidishwa kampemi ya chuki dhidi ya Iran (Iranophobia) ni uungaji mkono wa wazi na wa bila vizuizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Palestina.
-
Jibu kali la Iran kwa taarifa ya pamoja ya US na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi
Feb 18, 2023 22:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametupilia mbali maelezo yaliyomo kwenye taarifa ya kikao cha tatu cha jopo kazi la pamoja la Marekani na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na kueleza kwamba kutolewa taarifa kama hiyo kunaendana na mkakati wa muda mrefu wa utawala wa Marekani wa kuzusha mfarakano kati ya nchi za eneo hili.
-
Ufafanuzi wa malengo ya maadui wa Muqawama katika hotuba ya Sayyid Nasrullah
Feb 18, 2023 07:21Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon juzi Februari 16, alieleza malengo ya maadui katika hotuba yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya makamanda wa harakati ya Muqawama waliouawa shahidi, Sheikh Ragheb Harb, Sayyid Abbas Mousawi na Haj Emad Mughniyeh.
-
Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran
Feb 17, 2023 23:07Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa, matamshi ya viongozi wa China kuhusiana na kuwa na urafiki usio na mipaka na Russia yamepelekea kuibuka wasiwasi nchini Marekani.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya ulazima wa kuongezwa nguvu za kiulinzi za nchi
Feb 17, 2023 06:57Katika miaka ya baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, maendeleo ya kiulinzi ya Iran ambayo yamepatikana kwa kutegemea elimu na wataalamu wa hapa ndani yamefikia katika kiwango ambacho kimewakasirisha mno maadui wa taifa hili la Kiislamu.
-
Kukiri Waziri Mkuu wa zamani wa Israel kuhusu ugaidi wa kiserikali wa utawala huo dhidi ya Wapalestina
Feb 16, 2023 23:18Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa aliwahi kutoa amri ya kupigwa risasi Wapalestina.
-
Vigingi vya kisiasa vya Magharibi na misaada ya Syria kwa wananchi wa maeneo yanayodhibitiwa na magaidi
Feb 16, 2023 05:29Katika hali ambayo Marekani na nchi za Ulaya zinaingiza masuala ya kisiasa katika masuala ya utumaji misaada ya kibinadamu huko Syria; serikali ya Damascus kwa upande wake inasisitiza kutumiwa misaada wananchi wa Syria katika maeneo yanayoshikiliwa na magaidi.