-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili
Feb 15, 2023 22:56Jumanne ya juzi tarehe 14 Februari, Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Beijing na Rais Xin Jinping wa China.
-
Mshtakiwa kupanda kiriri cha mshtaki; kujitokeza mtesaji mkuu wa SAVAK kwenye mkusanyiko wa Los Angeles wa wapinga Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 15, 2023 04:47Parviz Sabeti, aliyekuwa mkuu wa usalama wa ndani wa utawala kandamizi wa Ufalme wa Pahlavi na mtesaji mkuu wa Shirika la Intelijensia na Usalama la utawala huo lililokuwa maarufu kama SAVAK, baada ya miaka na miaka ya kuishi mafichoni na mbali na vyombo vya habari, tarehe 11 Februari alijitokeza hadharani akiwa pamoja na familia yake na kushiriki kwenye mjumuiko wa wapinga Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran uliofanyika mjini Los Angeles, Marekani.
-
Mapinduzi ya Netanyahu dhidi mfumo wa mahakama na uwezekano wa msambaratiko wa ndani
Feb 14, 2023 22:55Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel amekiri kuwa, utawala huo unakaribia kusambaratika kisheria na kijamii.
-
Uhusiano wa kiuchumi wa Iran na China katika mkondo mpya
Feb 14, 2023 09:21Sambamba na safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini China, kumefanyika kikao cha pamoja cha wafanyabiashara wa wa pande mbili katika jiji la Beijing.
-
Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake
Feb 13, 2023 22:56Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya katika ripoti yake ya kiduru kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, licha ya hasara na pigo kubwa lililopita kundi la kigaidi la Daesh katika miaka ya hivi karibuni lakini tishio la la kundi hilo la kigaidi lingali linaongezeka kwa ulimwengu.
-
Radiamali ya Iran kwa kuungwa mkono kundi la kigaidi la MKO katika Kongresi ya Marekani
Feb 13, 2023 09:44Hussein Amir-Abdollahia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran Jumamosi ya juzi tarehe 11 Februari alitoa radiamali kuhusiana na azimio la Kongresi ya Marekani linaloliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO).
-
Tathmini ya maandamano ya ‘watu mamilioni moja’ Ufaransa ya kupinga sera za serikali ya Macron
Feb 12, 2023 23:03Takribani watu milioni moja waliandamana siku ya Jumamosi nchini Ufaransa ikiwa ni mara ya nne wakipinga sera za serikali ya Rais Emmanuel Macron.
-
Juhudi tasa za miongo minne za Marekani za kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 12, 2023 08:39Mamilioni ya Wairani jana Jumamosi walishiriki katika maandamano ya maadhimisho ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) na kuadhimisha kwa hamasa kubwa miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 11, 2023 23:04Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
Kuboreshwa uwezo wa ndege zisizo na rubani za Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 11, 2023 05:49Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasilisha ripoti ya utendaji wa mwaka jana wa jeshi hilo na kutangaza ongezeko la 33% la idadi ya ndege zisizo na rubani za Jeshi la Anga.