-
Umoja wa Mataifa wakiri kuingizwa masuala ya kisiasa katika kadhia ya kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria
Feb 10, 2023 22:48Rola Amin, Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR amesema misimamo ya kisiasa inapaswa kuwekwa kando na juhudi kufanyika kwa ajili ya kuwafikishia misaada ya kibinadamu waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Syria.
-
Vikwazo na ugaidi; matatizo mawili yanayopelekea wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria kutofikishiwa misaada ya kibinadamu
Feb 10, 2023 03:13Serikali ya Syria iko mbioni kuwafikishia misaada ya kibidanamu waathirika na wahanga wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini humo hivi karibuni lakini pamoja na hayo inakabiliwa na vizuizi vikuu viwili ambavyo ni vikwazo na ugaidi na hivyo kufanya shughuli zake katika uwanja huo kuwa ngumu.
-
Mwito wa Russia wa kufuatiliwa jinai za Marekani na Uingereza nchini Iraq
Feb 10, 2023 00:36Vasily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Jumatano ya juzi na ikiwa ni siku tatu baada ya kumbukumbu ya mwaka wa uongo mkubwa wa Marekani dhidi ya Iraq alisema kuwa, lazima watenda jinai Wamarekani na Waingereza wapandishwe kizimbani kwa jinai zao nchini humo.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza ulazima wa kuwepo umoja wa kitaifa na kukabiliana na mikakati ya adui
Feb 09, 2023 07:18Umoja wa kitaifa na umoja wa jamii una nafasi maalum kwa watu wa kila nchi. Bila kuwepo umoja wa kitaifa, uhai wa nchi na taifa hauwezi kupatikana. Umoja wa kitaifa unamaanisha umoja wa taifa kubwa na lenye fahari la Iran ambao ni siri ya ushindi wa taifa hili na sababu ya kuimarishwa jamii.
-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya binadamu nchini Afghanistan
Feb 08, 2023 23:13Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya kushadidi mgogoro wa binadamu nchini Afghanistan.
-
Tangazo la uwepo wa "Bunge la Hijaz", hatua ya kukabiliana na vita vya Bin Salman dhidi ya Uislamu
Feb 08, 2023 08:52Wanaharakati wa Saudia wameanzisha Bunge la Hijaz ili kukabiliana na njama za Aal Saud dhidi ya matukufu ya Kiislamu katika ardhi ya Hijaz na kutetea maeneo matakatifu ya Waislamu.
-
Indhari ya Antonio Guterres kuhusu kubadilika vita vya Ukraine na kuwa vita vya dunia
Feb 07, 2023 23:47Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, hatua zozote za kuchochea mgogoro wa Russia na Ukraine huenda zikaitumbukiza dunia katika vita vipana na vikubwa zaidi.
-
Maandamano ya Wasudan ya kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Feb 07, 2023 07:43Jumapili ya juzi tarehe 5 Februari wananchi wa Sudan waliandamana katika mji mkuu Khartoum kwa shabaha ya kupinga hatua ya utawala wa kijeshi nchini humo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Msamaha wa Kiongozi Muadhamu kwa wafungwa wa machafuko ya hivi karibuni
Feb 06, 2023 22:51Kwa mnasaba wa kuwadia maadhimisho ya miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na sikukuu za mwezi wa Rajab, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa msamaha na punguzo la vifungo kwa makumi ya maelfu ya watuhumiwa na wafungwa wa machafuko ya hivi karibuni hapa nchini.
-
Kumbukumbu ya miaka 20 ya uongo mkubwa wa Marekani kuhalalisha shambulio dhidi ya Iraqi
Feb 06, 2023 09:34Miaka 20 iliyopita yaani Februari 5, 2003, Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alishiriki katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York na kuonyesha bomba la majaribio lililokuwa na mada za kimeta na kudai kuwa ni ushahidi wa kuwepo silaha za maangamizi ya umati nchini Iraq.