-
Mabomu ya kutegwa ardhini, mabomu ya vishada na wahanga wa Yemen
Feb 05, 2023 23:12Wananchi wa Yemen wanaokabiliwa na mashambulizi ya Saudi Arabia, sasa wamekuwa wahanga wa mabomu ya kutegwa ardhini silaha zilizoachwa nyuma na wavamizi hao.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Venezuela
Feb 05, 2023 06:25Akiwa ziarani nchini Venezuela, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini ambapo amekuwa pia na mashauriano na Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro.
-
Kufukuzwa "Ilhan Omar", mbunge Mwislamu, katika Kamati ya Kongresi ya Marekani
Feb 04, 2023 23:02Ilhan Omar, mwakilishi mwanamke wa Kiislamu wa chama cha Democratic amefukuzwa katika Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Baraza la Wawakilishi la Marekani kwa kuukosoa utawala wa Kizayuni wa Israel. Baraza la Wawakilishi la Marekani lilimfukuza Omar kutoka Kamati ya Mahusiano ya Kigeni kwa kura 218 zilizounga mkono za Warepublican na kura 211 zilizopinga za Wademokrati.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia nchini Iraq
Feb 04, 2023 07:42Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Saudi Arabia, Faisal bin Farhan Al-Saud, tarehe Pili Februari alitembelea Iraq. Safari hiyo ya Bin Farhan inaweza kutathminiwa katika kalibu ya masuala ya kikanda na kimataifa.
-
Onyo la Russia kwa Netanyahu kuhusu msaada wa silaha kwa Ukraine
Feb 03, 2023 22:44Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel baada ya Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu kutangaza Jumatano usiku kwamba anachunguza suala la kutuma msaada wa kijeshi wa utawala huo nchini Ukraine.
-
Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine
Feb 03, 2023 04:47Amir Saeed Irwani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatano, akizungumzia shambulio la kigaidi kwenye kiwanda cha Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, amesema katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kwa mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni umehusika na tukio hilo la kigaidi.
-
Sababu za kuongezeka hukumu za kifo nchini Saudi Arabia baada ya Bin Salman kuingia madarakani
Feb 02, 2023 23:36Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Saudia, limetangaza katika ripoti ya karibuni kwamba hukumu za kifo au unyongaji wakati wa utawala wa mrithi wa kiti cha ufalme Mohammed bin Salman nchini Saudi Arabia zinaongezeka karibu mara mbili kila mwaka.
-
Papa alaani ukoloni wa kiuchumi barani Afrika
Feb 02, 2023 05:45Jumanne wiki hii, katika siku ya kwanza ya safari yake Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Papa Francis, kiongozi wa Wakatoliki duniani, amelaani vikali "ukoloni wa kiuchumi" unaotekelezwa barani Afrika na hasa katika nchi hiyo.
-
Majibu makali ya Tehran kuhusu msimamo ulio dhidi ya Tehran wa Blinken
Feb 01, 2023 22:42Nasser Kan'ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, siku ya Jumatatu alijibu upayukaji mpya wa baadhi ya viongozi wa Marekani na kusema kuwa, serikali ya Washington inaelewa vilvyo kwamba Iran haiwezi kufumbia macho uchokozi wa aina yoyote ile wa ardhi yake na lazima itatoa majibu makali kwa yeyote anayelichokoza taifa hili la Kiislamu.
-
Kuuawa na kujeruhiwa makumi ya Waislamu Msikitini nchini Pakistan
Feb 01, 2023 10:47Watu wasiopungua mia moja wameuawa na kujeruhiwa katika mripuko mkubwa uliotokea ndani ya Msikiti kwenye mji wa Peshawar nchini Pakistan.