-
Taathira hasi ya vita vya Ukraine juu ya uchumi wa dunia
Apr 13, 2022 21:54Ikiwa zimepita siku 47 tangu kuanza vita vya Russia na Ukraine, hasara za kiuchumi za vita hivyo zinaongezeka siku baada ya nyingine, kadiri kwamba Shirika la Biashara Duniani WTO limetangaza katika ripoti yake ya karibuni kwamba vita hivyo vimeathiri vibaya uchumi wa dunia.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu ulazima wa kukomeshwa vita vya Yemen
Apr 13, 2022 06:42Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Jumanne jioni akizungumza katika kikao cha viongozi na maafisa wa ngazi za juu wa mfumo wa Kiislamu, ameashiria na kufafanua masuala mbalimbali katika uga wa ndani na nje ya nchi.
-
Athari za vita vya Ukraine Asia Magharibi; Israeli katika kilele cha waliofaidika na vita hivyo
Apr 12, 2022 21:59Kwa kawaida, vita vyote huwa na gharama na hasara isipokuwa kwa wamiliki wa sekta ya silaha ambao wamewekeza fedha nyingi na wanasubiri vita na mvutano ili wauze silaha na bidhaa zao.
-
Duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa; mchuano baina ya Macron na Le Pen
Apr 12, 2022 06:34Uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa umemalizika huku Emmanuel Macron na Marine Le Pen wakiingia katika duru ya pili. Kwa utaratibu huo, siku 14 zijazo yaani tarehe 24 mwezi huu hatima ya uchaguzi huo itajulikana na mshindi wa duru hiyo atapata tiketi ya kuingia katika ikulu ya Elizeh.
-
Umoja wa Mataifa waonya juu ya kuongezeka mgogoro wa chakula barani Afrika
Apr 11, 2022 22:31Wakati machafuko ya kisiasa na kiuchumi yakiongezeka na janga la Covid-19 likiendelea, Umoja wa Mataifa umeonya katika ripoti yake ya karibuni juu ya hatari ya mgogoro wa chakula, haswa katika nchi za Kiafrika.
-
Umoja wa Ulaya wachochea vita Ukraine: Mchezo wa Brussels kwenye uwanja wa Washington
Apr 11, 2022 00:32Huku akisema kuwa mvutano kati ya Ukraine na Russia utamalizikia tu katika medani ya vita, Joseph Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kutatuliwa kijeshi mzozo uliopo kati ya pande hizo.
-
Bunge la Pakistani lapiga kura ya kutokuwa na imani na Imran Khan
Apr 10, 2022 22:05Baada ya wiki kadhaa za mivutano ya kisiasa nchini Pakistan, hatimaye wabunge wa mrengo wa upinzani bungeni wamepitisha mswada wa kutokuwa na imani na serikali ya Pakistani inayoongozwa na Waziri Mkuu Imran Khan.
-
Utawala wa Kizayuni; sababu kuu ya machafuko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Apr 10, 2022 03:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameutaja utawala wa Kizayuni kuwa chanzo cha machafuko yote yanayoendelea katika ardhi za Wapalestina unazozikaliwa kwa mabavu.
-
Uungaji mkono wa Uturuki kwa utawala wa Kizayuni
Apr 09, 2022 23:47Matukiko yanayoshuhudiwa sasa huko Uturuki kufuatia nchi hiyo kuingilia kijeshi baadhi ya nchi jirani na kujaribu kuyakalia kwa mabavu baadhi ya maeneo ya Syria na Iraq; matatizo ya nchi hiyo katika sekta za kiuchumi, kisiasa na kijeshi hivi sasa yameongezeka pakubwa tangu mwaka 2018.
-
Kamisheni ya Ulaya: Hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha madai ya uhalifu wa kivita dhidi ya Russia
Apr 09, 2022 23:45Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesema hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa jeshi la Russia limefanya uhalifu wa kivita nchini Ukraine.