-
Sisitizo la viongozi wa Korea Kaskazini kuhusu kuimarisha uwezo wa kijeshi
Jan 13, 2022 05:43Kiongozi wa Korea Kaskazini ametaka uwezo wa kijeshi wa nchi hiyo uzidi kuimarishwa. Vyombo vya habari vya Pyongyang vimetangaza kuwa, Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili ameshiriki na kusimamia mazoezi ya makombora ambayo yamefanyika kwa mafanikio.
-
Vita vya Ethiopia na jitihada za kutatua mgogoro wa nchi hiyo
Jan 13, 2022 00:51Wakati maafisa wa serikali ya Ethiopia wakiahidi kuanzisha mazungumzo ya kitaifa nchini humo, Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) imetangaza kuwa mashambulizi ya jeshi la Ethiopia katika eneo hilo yamesababisha vifo vya zaidi ya raia 56.
-
Fedheha ya vyombo vya habari na mkanganyiko wa Saudi Arabia katika vita vya Yemen
Jan 12, 2022 08:30Saudi Arabia, ambayo imeshindwa vita vya Yemen, inaonekana kuchanganyikiwa kutokana na makosa yake katika vyombo vya habari.
-
Kuchomwa moto kambi ya wakimbizi ya Waislamu wa Rohingya
Jan 11, 2022 23:01Polisi ya Bangladesh imetangaza kuwa, moto umetokea katika kambi ya wakimbizi ya Waislamu wa Kirohingya wa Myanmar katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Kuendelea mgogoro wa Sudan; sambamba na kukataliwa mpango wa Umoja wa Mataifa
Jan 11, 2022 05:56Katika hali ambayo mgogoro wa Sudan ungali unaendelea kutokota, Jumuiya ya Wafanyakazi imetangaza kupinga mpango wa Umoja wa Mataifa wa kufanyika mazungumzo na wanajeshi wenye mamlaka ambao kimsingi ndio wanaoongoza nchi hiyo hivi sasa.
-
Namna alivyokamatwa ajenti wa Mossad katika mauaji ya mwanasayansi wa Kipalestina
Jan 10, 2022 23:08Hatua ya vyombo vya kiintelijinsia vya muqawama ya kusikiliza mazungumzo ya mmoja wa wahusika wa mauaji ya kigaidi ya msomi na mwanasayansi wa Kipalestina aliyeuliwa huko Malaysia imepelekea kukamatwa ajenti huyo Ghaza kufuata oparesheni ya wanamuqawama.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika kumbukumbu ya mwamko wa kihistoria wa Dei 19; kubainishwa vipengee vya nguvu ya wananchi wa Iran
Jan 10, 2022 06:40Ayatullah Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumapili alizungumza kwa njia ya televisheni na wananchi wa mji mtakatifu wa Qum kwa mnasaba wa kukumbuka vuguvugu la mwamko wa tarehe 19 mwezi Dei mwaka 1356 sawa na Januari 9 1978 dhidi ya utawala wa zamani wa Shah Pahlavi.
-
Kuachiliwa huru wapinzani wa serikali ya Ethiopia; juhudi za kuanzisha mazungumzo ya kitaifa
Jan 09, 2022 23:21Baada ya miezi kadhaa ya mzozo na vita nchini Ethiopia, Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametangaza msamaha na kuwaachia huru wafungwa mashuhuri wa kisiasa akiwemo kiongozi wa upinzani Jawar Mohammed na maafisa wa chama cha upinzani cha Tigray na hivyo kupiga hatua ya kwanza kwa minajili ya kurejesha utilivu wa kisiasa na kuandaa uwanja kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa.
-
Madai na tuhuma zisizokoma za Saudi Arabia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Jan 09, 2022 08:58Madai na tuhuma za Saudi Arabia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon zinaendelea kutolewa katika hali ambayo, makundi ya kisiasa ya Lebanon yanajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge uliopangwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu (2022).
-
Mashahidi wawili katika siku moja; jinai zisizo na ukomo za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 09, 2022 00:09Wanajeshi na walowezi wa Kizayuni wa Israel siku ya Alkhamisi waliwauwa shahidi na kidhulma vijana wawili wa Kipalestina.