-
Mwangwi wa mkutano wa Abbas na waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni katika nyumba yake binafsi
Dec 29, 2021 11:59Gazeti la Kizayuni la Jerusalem Post liliripoti Jumanne usiku kwamba Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas, amekutana na Waziri wa Vita wa Israel, Benny Gantz katika nyumba yake binafsi katika mji wa Rosh HaAyin na kutangaza kuwa, masuala ya usalama na uchumi ndiyo yaliyojadiliwa katika mazungumzo na mkutano huo.
-
Sisitizo la Rais Maduro la kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 28, 2021 23:10Sambamba na kuendelea mashinikizo ya kisiasa ya Marekani dhidi ya taifa na serikali ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hivyo amesema kuwa, taifa hilo limesimama kidete dhidi ya ubeberu na limefanikiwa kuibuka na ushindi.
-
Kuondolewa vikwazo Iran; siri ya mafanikio ya mazungumzo ya Vienna
Dec 28, 2021 08:56Mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 linaloundwa na mataifa ya Russia, China, Uingereza, Ufaransa pamoja Ujerumani yaliendelea tena leo huko Vienna Austria maudhui kuu ikiwa ni suala la kuondolewa vikwazo na kutilia mkazo mapendekezo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu masuala mawili muhimu, yaani uhakika kwamba vikwazo vimeondolewa na dhamana yake.
-
Maneva ya makundi ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 27, 2021 23:18Idara ya pamoja ya makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukanda wa Gaza ilitangaza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya makundi hayo yaliyopewa jina la "Al-Rukn al-Shadid 2" yalianza Jumapili iliyopita na yataendelea kwa siku kadhaa.
-
Duru ya 8 ya mazungumzo ya Vienna; haja ya Wamagharibi kuwa na mwenendo chanya
Dec 27, 2021 08:24Duru ya nane ya mazungumzo kati ya wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wanachama wa 4+1 kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran itaanza leo (Jumatatu) mjini Vienna.
-
Onyo la Papa Francis kuhusu kimya cha walimwengu kwa jinai dhidi ya Palestina na Yemen
Dec 26, 2021 23:08Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusiana na kimya na kigugumizi cha walimwengu kwa jinai na masaibu yanayowakumba wananchi wa Yemen na Palestina.
-
Jibu la Iran kwa madai ya Uingereza; makombora ya Iran hayana uhusiano na azimio la UNSC
Dec 26, 2021 06:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai ya Uingereza kuwa eti hatua ya Iran kuvurumisha makombora ya balistiki katika mazoezi ya kijeshi ya Mtume Mtukufu SAW inakiuka azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: "Mpango wa makombora wa Iran hauhusiani hata kidogo na azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa."
-
Matokeo ya kujitenga na maadili ya Kiislamu, Saudia sasa imekuwa mji mkuu wa dawa za kulevya
Dec 25, 2021 23:05Katika miezi ya hivi karibuni, kumetolewa ripoti kadhaa za ulanguzi wa dawa za kulevya, haswa aina Captagon na magendo ya kiwango kikubwa cha dawa hizo nchini Saudi Arabia.
-
Mazoezi ya kijeshi ya "Mtume Mtukufu 17", ujumbe mzito, halisi na wa kivitendo kwa utawala wa Kizayuni
Dec 25, 2021 06:03Mazoezi ya pamoja ya kijesi yaliyopewa jina la Mtume Mtukufu (SAW) 17, yaliyoanza Jumatatu iliyopita kwenye mwambao wa Ghuba ya Uajemi, Mlango-Bahari wa Hormuz na eneo la mikoa ya Hormozgan, Bushehr na Khuzestan, yalimalizika jana Ijumaa.
-
Undumakuwili wa India katika suala la kutoa uraia
Dec 25, 2021 01:03Serikali ya India imesema imewapatia uraia watu elfu tatu, ambao ni raia wa jamii za wachache katika nchi za Afghanistan, Pakistan na Bangladesh.