-
Kikao cha nne cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA mjini Vienna; kukubaliwa rasimu mbili za mapendekezo ya Iran kama msingi wa mazungumzo yajayo
Dec 19, 2021 07:05Kikao cha nne cha Kamisheni ya pamoja ya mapatano ya JCPOA nje ya mazungumzo ya Vienna kimefanyika Ijumaa liyopita katika hoteli ya Coburg.
-
Marekani yapinga azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga ubaguzi wa rangi
Dec 19, 2021 01:55Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi iliyopita lilipitisha azimio la kulaani aina zote za ubaguzi wa rangi.
-
Oparesheni ya Nablos; jibu la Wapalestina kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 18, 2021 09:10Walowezi wawili wa Kizayuni wamejeruhiwa na mmoja kuangamizwa katika ufyatuaji risasi wa siku ya Alhamisi iliyopita karibu na kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi cha Homesh huko Nablos katika ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kufichuliwa ujasusi wa kundi la Kizayuni dhidi ya taasisi za Kiislamu nchini Marekani
Dec 17, 2021 23:33Baraza la Uhusiano wa Marekani na Uislamu CAIR limefichua kuwa, genge moja la maadui wa Uislamu nchini Marekani linashirikiana na mashirika ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na limeunda kanali maalumu ya siri ya kujipenyeza na kufanya ujasusi katika safu za Waislalmu.
-
Lengo la mkutano wa Islamabad ni kuisaidia nchi ya Afghanistan
Dec 17, 2021 08:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amesema kuwa, lengo la kikao cha Islamabad ni mkusanyiko wa kimataifa kwa ajili ya kuisaidia Afghanistan.
-
Mkutano wa 42 wa Baraza na Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi; misimamo ya kukaririwa na isiyo na utendaji
Dec 16, 2021 23:20Mkutano wa 42 wa viongozi wan chi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ulifanyika Jumanne iliyopita ya tarehe 14 Disemba katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
Mapambano ya silaha na Israel na umoja wa Wapalestina; mihimili mikuu miwili ya harakati ya HAMAS
Dec 16, 2021 08:12Jumanne ya juzi tarehe 14 Disemba ilinasadifiana na mwaka wa 34 tangu kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina HAMAS.
-
Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Dec 15, 2021 23:24Licha ya kupita wiki kadhaa tokea aliporejea madarakani Abdalla Hamdok kama waziri mkuu wa Sudan, na jeshi la nchi hiyo kuafiki aunde serikali isiyo ya kijeshi lakini mgogoro wa kisiasa bado haujamalizika, kwani wananchi wanaendeleza maandamano mitaani.
-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ulazima wa kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran
Dec 15, 2021 07:47Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika ripoti yake ya 12 kuhusu mchakato wa utekelezwaji azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama ametangaza kuunga mkono mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 na akasisitiza udharura wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya nyuklia vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Mgogoro wa kibinadamu ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Afghanistan
Dec 14, 2021 22:58Afisa mmoja wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) amesema kuwa, mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan ni wa aina yake na haujawahi kushuhudiwa.