-
Safari ya Bennett Imarati; sambamba na mazungumzo ya Vienna na mkutano wa Riyadh
Dec 14, 2021 09:21Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Jumapili usiku aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi na kulakiwa na Abdallah bin Zayed al-Nahyan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Imarati.
-
Kupunguzwa kwa bajeti ya kijeshi ya Saudia; matokeo ya mahesabu yasiyo sahihi
Dec 13, 2021 23:55Saudi Arabia imetangaza kuwa itapunguza bajeti ya kijeshi ya mwaka ujao kwa asilimia 10 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
-
Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria
Dec 13, 2021 09:03Gazeti la New York Times limewanukuu maafisa wa zamani wa jeshi wa Marekani, kwamba kitengo cha operesheni za siri cha jeshi la nchi hiyo kilikuwa kikiwaua mara kwa mara raia katika operesheni zilizotajwa kuwa ni dhidi ya Daesh nchini Syria.
-
Kuendelea mivutano ya uchaguzi huko Libya
Dec 13, 2021 01:00Katika kipindi hiki cha kukaribia wakati wa kufanyika uchaguzi huko Libya, mivutano ya kisiasa imepamba moto nchini humo kwa kadiri kwamba, Tume Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo imetangaza habari kuakhirishwa zoezi la kuchapisha orodha ya mwisho ya wagombea wa kiti cha urais.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kubainisha haki na kweli mkabala wa riwaya iliyopotoshwa na uongo wa maadui
Dec 12, 2021 13:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo ameonana na wauguzi na familia za mashahidi waliokufa katika njia ya kutoa huduma za afya na ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa Bibi Zainab al Kubra SA ambayo hapa Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Wauguzi.
-
Palestina, kipaumbele muhimu zaidi cha Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 12, 2021 01:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kadhia ya Palestina ndio kipaumbele kikubwa zaidi cha Ulimwengu wa Kiislamu na kwamba kambi ya muqawama na mapambano ndiyo sababu ya kudhalilishwa na kuchukiwa Wazayuni.
-
Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden
Dec 11, 2021 04:47Baada ya makelele mengi ya kipropaganda hatimaye Mkutano wa Demokrasia ulianza siku ya Alhamisi iliyopita kwa hotuba ya Rais Joe Biden huko Washington.
-
Kupitishwa na Bunge la Uingereza sheria ya kibaguzi dhidi ya wahamiaji
Dec 10, 2021 23:15Bunge la Uingereza limepitisha sheria tatanishi ya "Utaifa na Mipaka", Nationality and Borders kwa kura 298 za wabunge waliounga mkono dhidi ya 231 walioupinga mswada wa sheria hiyo.
-
Sisitizo la Iran na Uturuki la kustawisha mashirikiano baina yao
Dec 10, 2021 04:00Marais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki wamesisitiza kustawisha mashirikiano baina ya nchi mbili katika uga wa uchumi na kupambana na ugaidi.
-
Changamoto zinazomsubiri Olaf Scholz, Kansela mpya wa Ujerumani
Dec 10, 2021 01:08Jumatano tarehe 8 Disemba 2021, Bunge la Ujerumani ambalo linajulikana kwa jina la Bundestag lilimchagua Olaf Scholz, 63, kuwa Kansela mpya wa nchi hiyo ya Ulaya. Scholz alipata kura 395 za ndio kati ya kura zote 736 wa wabunge wa nchi hiyo, na hivyo kufanikiwa kurithi kiti cha Angela Merkel ambaye ameitawala Ujerumani kwa muda wa miaka 16.