-
Ufaransa yapinga ombi la Uingereza, mizozo yashadidi baina ya pande mbili
Dec 03, 2021 23:09Baada ya siku saba, Ufaransa imekataa ombi la Uingereza lililokuwa limetolewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson kwa Rais Emmanuel Macron.
-
Israel na Marekani vizuizi vikuu vya kuwepo Mashariki ya Kati isiyo na silaha za maangamizi ya umati
Dec 03, 2021 09:29Fikra ya kuwepo Mashariki ya Kati isiyo na silaha za mauaji ya halaiki ilitolewa miaka kadhaa iliyopita lakini hadi sasa fikra hiyo haijatekelezwa kivitendo.
-
Kuendelea mgogoro wa kisiasa Tunisia
Dec 03, 2021 01:03Licha ya mgogoro wa kisiasa wa Tunisia kuendela kwa miezi kadhaa sambamba na kufanyika juhudi za kujaribu kuumaliza, lakini juhudi hizo zimeshindwa kuzaa matunda.
-
Siku ya tatu ya mazungumzo ya Vienna
Dec 02, 2021 04:56Mazungumzo yanayolenga kuiondolea Iran vikwazo vya kiuchumi, yaliendelea Jumatano huko Vienna Austria kwa siku ya tatu mfululizo kati ya Iran na nchi za kundi la 4+1 ambazo ni Ujerumani, Ufaransa, Uinngereza, Russia na China.
-
Wamagharibi walivyohusika katika shambulio la silaha za kemikali lililofanywa Sardasht na utawala wa Saddam
Dec 01, 2021 23:28Jumuiya ya kutetea waathirika wa ugaidi imesema, Sardasht ni nembo ya haki za binadamu duniani na imesisitiza kuwa: lazima watu wote, taasisi na serikali zilizoshirikiana na utawala wa Saddam katika kutenda jinai kubwa zaidi ya utumiaji wa silaha za kemikali dhidi ya binadamu wakemewe na kusailiwa.
-
Siku ya Kimataifa ya Kufungamana na Palestina; hatua ya kipropaganda ya Umoja wa Mataifa
Dec 01, 2021 07:31Licha ya kupita miaka 44 tangu Umoja wa Mataifa utangaze tarehe 29 Novemba kuwa Siku ya Kimataifa ya Kufungamana na Taifa la Palestina lakini hakuna lolote la maana ambalo limechukuliwa katika uwanja huo na badala yake hali ya Palestina inaendelea kuwa mbaya na ya kusikitisha mwaka hadi mwingine.
-
Kuunga mkono kundi la 4+1 kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Nov 30, 2021 23:10Sambamba na kuanza duru ya saba ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 huko Vienna Austria, kumeongezeka himaya na uungaji kwa takwa la haki na la kisheria la Iran la kuondolewa vikwazo vya upande mmoja ilivyowekewa kidhalimu na Marekani.
-
Syria: Tunaunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Beitul-Muqaddas
Nov 30, 2021 08:32Serikali ya Syria kwa mara nyingine tena imesisiitiza kuwa, inaunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Beitul-Muqaddas.
-
Kushtadi mgogoro wa Ethiopia; indhari ya hatari ya kugawanywa nchi na kudhibitiwa mji mkuu
Nov 30, 2021 07:25Mgogoro wa Ethiopia umechukua wigo mpana zaidi kiasi kwamba, akthari ya weledi wa mambo wa mambo wanatahadharisha juu ya uwezekano wa kutekwa na kuangukia mikononi mwa waasi mji mkuu Addis Ababa na kuenea vita vya ndani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa Magharibi
Nov 30, 2021 01:00Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD limechapisha ripoti inayoonyesha kuwa sera za ukaliaji mabavu za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimesababisha hasara ya kiuchumi ya zaidi ya dola bilioni 57 kwa taifa la Palestina katika kipindi cha miongo miwili iliyopita.