-
Mazungumzo ya Vienna, changamoto na matarajio
Nov 29, 2021 08:32Leo Novemba 29 mji mkuu wa Austria, Vienna ni mwenyeji wa mazungumzo baina ya Iran na nchi za kundi la 4+1 kuhusu kuondolewea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran. Nchi za 4+1 ni China Russia, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya
-
Spishi mpya ya Omicron na ukosefu wa uadilifu katika kugawa chanjo za corona
Nov 28, 2021 23:09Kugunduliwa spishi mpya ya kirusi cha corona nchini Afrika Kusini kinachojulikana kwa jina la Omicron na kuenea hadi barani Ulaya, kumezusha wasiwasi mkubwa wa kuambukizwa corona watu wengi zaidi duniani.
-
Kuuliwa shahidi mashujaa wa nyuklia; jinai dhidi ya binadamu na uvunjaji wa sheria za kimataifa
Nov 28, 2021 09:46Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Mhimili wa Mahakama wa Iran amesisitiza kuwa, mauaji ya kigaidi ya wanasayansi wa nyuklia ni jinai dhidi ya binadamu na ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Taliban yaituhumu CIA kuwa inafanya mipango ya kuigawa Afghanistan
Nov 27, 2021 23:20Afisa wa ngazi ya juu wa kundi la Taliban ametangaza kuwa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA linafanya jitihada za kuigawa Afghanistan.
-
Maafa ya vifo vya wakimbizi katika mfereji wa Manch, matokeo ya mzozo kati ya Ufaransa na Uingereza
Nov 27, 2021 11:28Zaidi ya wakimbizi 27 kutoka pwani ya kaskazini ya Ufaransa waliovuka Mfereji wa Manchi wakijaribu kufika katika ardhi ya Uingereza walighariki na kufariki Jumatano jioni, Novemba 24, baada ya boti yao kuzama.
-
Australia inaitumikia Marekani na utawala wa Kizayuni
Nov 27, 2021 00:12Serikali ya Australia imeiweka harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya eti makundi ya kigaidi sambamba na kuipiga marufuku harakati hiyo katika hatua ambayo inayonekana imechukuliwa ili kuihudumia Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Uhusiano wa Iran na UAE uko katika mkondo wa kuboreka
Nov 26, 2021 08:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa amesema kumefikiwa mapatano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kuboresha uhusiano wa nchi hizi mbili.
-
Indhari ya UN kuhusiana na kushamiri ubaguzi na uenezaji chuki ndani ya jamii ya Marekani
Nov 25, 2021 23:17Fernand de Varennes, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu za jamii za wachache, ametahadharisha juu ya kuzidi kupanuka ufa wa kukosekana usawa na uenezaji chuki dhidi ya jamii za wachache katika mfumo wa vyombo vya mahakama na vyombo vya habari vya Marekani na kutilia mkazo udharura wa kuanzishwa sheria ya kimataifa ya kukabiliana na uenezaji chuki.
-
Safari ya mrithi wa ufalme wa Imarati nchini Uturuki; sababu na malengo yake
Nov 25, 2021 04:07Mohammed Bin Zayed Al Nayhan, mrithi wa ufalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) jana Jumatano tarehe 24 Novemba aliwasili mjini Ankara, Uturuki ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.
-
Kuendelea mgogoro huko Sudan
Nov 24, 2021 22:58Licha ya kufikiwa mapatano ya kisiasa kati ya Abdel Fattah al Burhan Kamanda Mkuu wa Jeshi la Sudan na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abdallah Hamdok na kisha Waziri Mkuu huyo kurejeshwa madarakani, baadhi ya vyama vya kisiasa na akthari ya raia wa nchi hiyo wamepinga mapatano hayo na kumtuhumu Hamdok kuwa amewasaliti.