-
Mashauriano ya Grossi Tehran; Iran yadhamiria kufuatilia miradi yake ya nyuklia
Nov 24, 2021 08:48Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ambaye juzi alifanya ziara hapa Tehran jana Jumanne alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran kuhusu kuendeleza ushirikiano kati ya pande mbili.
-
Kongamano la usalama la Manama; kutokuwa na natija mikutano ya usalama kama hii kwa ajili ya eneo la Asia Magharibi
Nov 23, 2021 22:58Kongamano la 17 la usalama wa Asia Magharibi linalojulikana kama Mazungumzo ya 2021 ya Manama lilimalizika hivi karibuni nchini Bahrain.
-
Safari ya Grossi Tehran; sisitizo la ushirikiano baina ya Iran na IAEA katika nyanja mbalimbali
Nov 22, 2021 23:10Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) jana Jumatatu aliwasili hapa Tehran kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na Muhammad Eslami Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran na kuchunguza hali ya ushirikiano wa kiufundi wa pande mbili.
-
Mapatano ya kisiasa Sudan; kuendelea mgogoro
Nov 22, 2021 07:50Kufuatia kuendelea maandamano na malalamiko ya watu wa Sudan, hatimaye majenerali wanaotawala nchi hiyo wamefikia mapatano na Waziri Mkuu Abdalla Hamdok kwa ajili ya kutatua mgogoro unaoikabili nchi hiyo. Kwa msingi huo Hamdok tokea Jumatatu anaendelea kuhudumu kama waziri mkuu wa Sudan.
-
Onyo la makundi ya mapambano ya Iraq kuhusu kuondoka askari wa Marekani
Nov 21, 2021 22:53Kufuatia uvumi unaoenezwa kuhusu kutotekelezwa ratiba ya kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq, makundi ya mapambano ya nchi hiyo yametoa onyo kali kuhusu jambo hilo.
-
Huduma mpya ya London kwa Tel Aviv kwa kuituhumu Hamas kuwa ni kundi la kigaidi
Nov 21, 2021 06:38Katika kuendeleza siasa zake dhidi ya taifa la Palestina na kuunga mkono utawala haramu wa Israel, Uingereza imetuhumu na kuitangaza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Paletina Hamas kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Wakati utawala haramu wa Israel unapomnyooshea mkono 'baba wa ubatizo'
Nov 20, 2021 23:21Ijumaa iliiyopita serikali ya Uingereza ikiwa baba wa ubatizo wa mwanaharamu wake katika eneo la Magharibi mwa Asia (Israel) iliendeleza siasa na sera zake za kihasama na kiadui dhidi ya taifa la Palestina kwa kuitangaza harakani ya kupigania ukombozi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi
Nov 20, 2021 10:13Wizara ya Fedha ya Marekani juzi Alhamisi ilitangaza kuwa imeyaweka katika orodha yake ya vikwazo majina ya shakhsia sita na shirika moja la Iran kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi wa rais wa Marekani. Ofisi inayosimamia fedha ya taasisi hiyo ya Marekani imesema kuwa imeyaweka katika orodha yake ya vikwazo majina ya watu sita na taasisi moja ya Iran kwa kile ilichokitaja kuwa kujaribu kuathiri uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwaka 2020.
-
Safari za kidiplomasia nchini Syria; kushindwa siasa za kuitenga
Nov 20, 2021 01:15Kufanyika safari za kidiplomasia nchini Syria ni dalili ya wazi kwamba siasa za wapinzani za kujaribu kuitenga serikali ya Damascus zimegonga mwamba.
-
Ripoti ya Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan kwa Baraza la Usalama
Nov 19, 2021 05:09Deborah Lyons, Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan amesema katika ripoti yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba ana shaka iwapo serikali ya muda inayoongozwa na Taliban nchini Afghanistan ina uwezo wa kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh.