-
Jinai za Marekani wakati wa uvamizi wa Iraq
Oct 02, 2025 04:56Jinai za Marekani wakati wa kuikalia kwa mabavu Iraq zilikuwa kubwa na mfano mchungu sana wa mauaji na uharibifu chini humo ambazo wavamizi wa Kimarekani walijaribu na hadi sasa wanaendelea kujaribu kuzihalalisha kwa majina tofauti ya udanganyifu.
-
Kinachoifanya Russia ishikilie msimamo kwamba kurejeshwa vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran kunapingana na Mkataba wa UN
Oct 01, 2025 23:09Russia imetangaza kuwa madai ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran hayana msingi wowote na hatua iliyochukuliwa na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na suala hilo inapingana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Mpango wa Trump wa vipengele 20, tapatapa ya kuuokoa utawala wa kizayuni usishindwe katika vita vya Ghaza
Oct 01, 2025 05:58Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza kuwa ni jaribio la kutapatapa la kuuokoa utawala wa kizayuni wa Israel usishindwe katika vita vya mauaji ya kimbari ulivyoanzisha dhidi ya eneo hilo la Palestina uliloliwekea mzingiro.
-
Je, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limenasa katika mtego wa kura ya turufu?
Sep 30, 2025 23:02Haki ya kura ya turufu ni mojawapo ya masuala yenye utata kuhusu mamlaka ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Wimbi jipya barani Afrika la kuunga mkono Palestina na kulaani Israel
Sep 30, 2025 09:04Wananchi na viongozi wa nchi za Kiafrika wamelaani jinai za Israel katika wimbi jipya la kuwaunga mkono Wapalestina.
-
Je, uzoefu wa kupambana na ubaguzi wa rangi unaweza kuulazimisha utawala wa Kizayuni kuondoka Ghaza?
Sep 29, 2025 22:53Wananchi wa Afrika Kusini walifanya maandamano makubwa na ya kihistoria hivi karibuni wakitaka kuvunjwa kikamilifu uhusiano wa kidiplomasia na kibiashara wa nchi hiyo na utawala dhalimu na wa ubaguzi wa rangi wa Israel.
-
China haina wasiwasi, bali inashangaa; mbona Marekani inang'ang'ania kurejea Afghanistan?
Sep 29, 2025 04:02China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.
-
Vipi Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limefikia natija ya kufanyika mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 28, 2025 22:46Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetangaza hatua za Israel huko Gaza kuwa ni mfano wa kisheria wa "mauaji ya halaiki."
-
Kwa nini Iran inaona utaratibu wa snapback kuwa hauna uhalali wa kisheria?
Sep 28, 2025 07:43Seyyed Abbas Araghchi Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika barua yake kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwamba: Hatua ya Marekani na Troika ya Ulaya ya kurejesha maazimio ya awali ya Baraza la Usalama dhidi ya Iran haina msingi wa kisheria wala kisiasa na haikubaliwi na Tehran.
-
Kwa nini kuadhibiwa katika uga wa michezo ni hatua muhimu ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni?
Sep 27, 2025 22:57Kufuatia kuongezeka mashinikizo ya kimataifa kwa serikali na taasisi za Ulaya ili kutoa jibu kali kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza, Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) wiki ijayo litakuwa na kikao kujadili suala la kuziweka kando timu zote za kandanda za Israel katika mashindano ya kimataifa na vilabu ya UEFA.