-
Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?
Sep 27, 2025 07:40Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Kwa nini nchi tatu za Kiafrika zimejitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ?
Sep 26, 2025 22:44Nchi tatu za Kiafrika zimetangaza kuwa zimehitimisha unachama wao katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?
Sep 26, 2025 05:53Kuanza tena meneva ya kijeshi kati ya Uturuki na Misri, sambamba na kupelekewa idadi kubwa ya wanajeshi wa Misri katika Peninsula ya Sinai, kumeutia wasiwasi utawala wa Kizayuni.
-
Sababu zilizoifanya Colombia itoe wito wa aina yake wa kuundwa jeshi la kimataifa la kuikomboa Palestina
Sep 25, 2025 22:56Colombia imetoa wito wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini mazungumzo na Marekani hayana maana?
Sep 25, 2025 07:12Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa sababu mbalimbali kwa nini mazungumzo na Marekani hayana natija.
-
Vita vya Ukraine na faida nono kwa mashirika ya silaha ya Marekani
Sep 25, 2025 03:40Vita vya Ukraine, vilivyoanza mwishoni mwa mwezi Februari 2022, vimeleta mabadiliko makubwa ya kijiografia na kisiasa ulimwenguni.
-
Kwa nini Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi kutumia bidhaa za ndani?
Sep 24, 2025 07:38Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi wa nchi hiyo kuacha kutumia bidhaa kutoka nje na badala yake watumie bidhaa za ndani kufuatia kushtadi mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Marekani.
-
Kutengwa kimataifa, natija ya mgogoro wa utawala wa Kizayuni katika eneo
Sep 23, 2025 22:42Benyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, amekiri kwamba utawala huu unaishi katika aina fulani ya kutengwa kimataifa.
-
Mgogoro wa itibari ya kimaadili ya nchi za Magharibi kuhusu suala la Palestina
Sep 23, 2025 06:22Kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa haoni kinachoendelea katika eneo hilo kuwa ni mauaji ya kimbari.
-
Kwa nini Trump anang'ang'ania kuikalia kwa mabavu tena kambi ya Bagram ya Afghanistan?
Sep 22, 2025 23:05Kambi ya Jeshi la Anga ya Bagram, ni moja ya vituo muhimu vya kijeshi nchini Afghanistan, na ni umuhimu hasa kutokana na kwamba ipo kwenye eneo la kimkakati, miundombinu yake ni ya hali ya juu, na inabeba jukumu muhimu katika masuala ya kijeshi, kisiasa na kijiografia.