-
Kumalizika operesheni ya kijeshi Tripoli; Libya yaingia tena kwenye mgogoro
May 13, 2025 23:11Wizara ya Ulinzi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza kumalizika kwa mafanikio operesheni ya kijeshi huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Kukandamizwa watetezi wa Palestina na kuporomoka maadili ya kibinadamu barani Ulaya
May 13, 2025 04:42Uwanja wa Stalingrad wa Paris hivi karibuni ulishuhudia maandamano makubwa ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Kwa nini vikosi vya usalama vya Ufaransa vimefukuzwa Algeria?
May 12, 2025 23:32Sambamba na kuongezeka mvutano kati ya Algeria na Ufaransa, serikali ya Algiers imechukua uamuzi wa kuwafukuza maafisa wawili wa kiintelijensia wa Ufaransa waliokuwa na pasipoti za kidiplomasia.
-
Kuhusika moja kwa moja Israel katika mapigano baina ya India na Pakistan
May 12, 2025 04:02Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kuwa mabilioni ya dola za India yaliyotumika kwenye ununuzi wa silaha kutoka kwa Israel yamechangia pakubwa katika vita vya wiki iliyopita dhidi ya Pakistan.
-
Mizizi ya ukoloni katika mzozo wa India na Pakistan
May 11, 2025 22:28Mzozo wa India na Pakistan ni moja ya migogoro sugu na ya muda mrefu zaidi katika eneo la Asia Kusini.
-
Vipaumbele muhimu zaidi vya sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 11, 2025 04:29Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefafanua vipaumbele na masuala muhimu zaidi katika siasa za nje za Iran katika kikao cha Doha na pia katika vikao vingine na viongozi mbalimbali wa nchi za eneo.
-
Je, vyuo vikuu vya Marekani vimekuwa wenzo wa kisiasa wa serikali ya Trump?
May 11, 2025 00:31Habari ya kusimamishwa wanachuo zaidi ya 65 wa Chuo Kikuu cha Columbia kwa sababu eti ya kushiriki kwao katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina, kwa mara nyingine imefichua makutano nyeti kati ya uhuru wa kujieleza, mamlaka ya kitaaluma na sera za usalama katika vyuo vikuu vya Magharibi.
-
Ni vipi vipaumbele vya Iran katika Duru ya 4 ya Mkutano wa Mazungumzo kati ya Iran na Nchi za Kiarabu
May 10, 2025 08:02Duru ya 4 ya Mkutano wa Mazungumzo kati ya Iran na Nchi za Kiarabu chini ya anwani "Uhusiano Imara na Maslahi ya Pande Mbili" inafanyika Doha mji mkuu wa Qatar kwa ushirikiano wa pamoja wa Baraza la Kiistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran na Kituo cha Utafiti cha al Jazira.
-
Utayarifu wa Iran wa kufanya jitihada za kutatua mzozo wa India na Pakistan
May 10, 2025 00:51Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Droupadi Murmu wa India ambapo ameashiria mvutano wa hivi sasa kati ya nchi hiyo na Pakistan na kutangaza kuwa, Iran iko tayari kufanya juhudi za aina yoyote ili kusaidia jitihada za kupunguza mivutano na kuimarisha amani katika eneo hilo muhimu.
-
Mipaka iliyoacha nyuma ubinadamu
May 09, 2025 12:05Katika habari za karibuni kuhusu ukiukwaji wa haki za wahamiaji na wakimbizi barani Ulaya, shirika la misaada la SOS Humanity, limetoa ripoti iliyopewa jina la "‘Borders of (In)Humanity’," ambayo imechapisha mahojiano na wakimbizi 64 waliookolewa baharini, na kufichua ukubwa wa janga la safari za vifo za wakimbizi kutoka Afrika kwenda Ulaya.