-
Radiamali za kindumakuwili kwa jinai za Israel; kuanzia maandamano ya wananchi hadi kimya cha serikali
May 27, 2025 22:37Wiki ya mwisho ya mwezi Mei 2025 imekuwa nukta ya kuanzia mabadiliko katika mchakato wa kueneza hasira za walimwengu dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Je, Iran na nchi za Afrika zinawezaje kukamilishana kiuchumi?
May 27, 2025 07:31Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa serikali ya Iran inalipa kipaumbele maalumu suala la mahusiano na bara la Afrika, na ameonesha matumaini ya mustakabali mwema katika ushirikiano wa pande mbili.
-
Je, kwa nini Israel haiwezi kuishinda Hamas?
May 26, 2025 23:26Madai ya maafisa wa baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu Wazir Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel kuhusu kushindwa Hamas yameibua utata katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, ambapo wachambuzi wengi na maafisa wa utawala huo wa kizayuni wanayachukuliwa kuwa ni uongo na uzushi mtupu.
-
Kwa nini Trump anasema uongo kuhusu mauaji ya watu weupe nchini Afrika Kusini?
May 26, 2025 02:31Senzo Mchunu, Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini amefichua uongo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mauaji ya wakulima wa kizungu nchini Afrika Kusini, na kusema: "Katika robo ya kwanza ya mwaka huu, jumla ya mauaji sita yanayohusiana na ardhi yalitokea Afrika Kusini, ambapo watano kati yao walikuwa watu weusi."
-
Kwa nini Trump ana vigezo vya kibaguzi kuhusu suala la nyuklia?
May 25, 2025 22:44Siku ya Ijumaa, Mei 23, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini dikri mpya kadhaa zinazolenga kuongeza uwezo wa uzalishaji wa nishati ya nyuklia, kupunguza kanuni za udhibiti na kupanua sekta ya urutubishaji wa madini ya urani nchini humo.
-
Je, juhudi za kufuta dola katika miamala ya BRICS zitaongezeka au la?
May 25, 2025 04:28Benki ya Ustawi Mpya ya BRICS imetangaza upanuzi wa taasisi hii ya kifedha kwa kukubali uanachama wa Algeria.
-
Kwa nini utawala wa Trump umebatilisha kibali cha Chuo Kikuu cha Harvard cha kuandikisha wanafunzi wa kigeni
May 24, 2025 07:34Katika hali isiyokuwa ya kawaida na yenye utata mwingi, utawala wa Donald Trump umetoa agizo kwa Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani kufuta kibali cha Chuo Kikuu cha Harvard cha kuandikisha wanafunzi wa kigeni.
-
Kwa nini mauaji ya kimbari yangali yanaendelea licha ya uungaji mkono wa kimataifa kwa Gaza?
May 24, 2025 02:56Nchi 80 zimetangaza kupitia taarifa kwamba: 'Ukanda wa Gaza unakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu tangu Oktoba 7, 2023, na raia wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa. Jinai na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni yangali yanaendelea huko Gaza.'
-
Araghchi: Iran yaendelea kusimama imara, Marekani yaelewa vyema msimamo wa nyuklia wa Tehran
May 24, 2025 00:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amepongeza duru mpya ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani akiyataja kuwa mojawapo ya "mazungumzo ya kitaalamu zaidi" kuwahi kufanyika, akisisitiza kuwa Tehran itaendelea kusimama imara na kushikilia misimamo yake "iliyo wazi kabisa".
-
Je, mfumo mpya wa kikanda unaofuatiliwa na Iran una sifa gani?
May 23, 2025 23:02Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefafanua mfumo mpya wa kieneo unaofuatiliwa na Iran, katika makala iliyochapishwa kwenye tovuti ya Jukwaa la Mazungumzo la Tehran.