-
SAUTI, Waziri wa Usalama Uganda awaonya waandishi wa habari wanaochochea ghasia
Sep 22, 2018 13:04Waziri wa Usalama nchini Uganda Jenerali Elly Tumwine, amewataka waandishi wa habari kutumia vyema taaluma yao ili wasiitumbukize nchi hiyo katika machafuko.
-
SAUTI, Waislamu Zanzibar wamepewa ushauri wa kutekeleza ibada ya Hija wakiwa bado wana nguvu
Sep 22, 2018 13:03Waislamu visiwani Zanzibar wametakiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hija wakiwa bado wana nguvu ili kuepukana na changamoto wakati wa utekelezaji wa ibada hiyo.
-
Mbatia: Ajali ya kuzama MV Nyerere nchini Tanzania ingeliweza kuepukwa + Sauti
Sep 22, 2018 03:05Mwenyekiti wa NCCR mageuzi nchini Tanzania, James Mbatia amesema kuwa, kuzama kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria ni ajali ya kujitakia.
-
SAUTI, Viongozi wa imani tofauti Tanzania washiriki kumbukumbu za Imamu Hussein (as) na kumtaja kuwa nembo ya ubinaadamu
Sep 20, 2018 11:22Viongozi wa dini mbalimbali nchini Tanzania wamejumuika pamoja katika kuenzi kumbukumbu ya siku aliyouwawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) Imam Hussein (as).
-
SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Kenya, huwenda wakaiburuza serikali mbele ya mahkama ya ICC kulaani ukandamizaji dhidi yao
Sep 20, 2018 11:22Viongozi wa dini ya kiislamu kwa kushirikiana na mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya watishia kuiburuza mahakamani serikali ya nchi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutokana na ukandamizaji wanaofanyiwa na serikali hiyo.
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yainyoshea kidole cha lawama Rwanda, yaihusisha na mauaji ya kuvizia nchini humo
Sep 20, 2018 11:21Serikali ya Burundi imemnyoshea kidole cha lawama jirani yake Rwanda kutokana na vitendo vya mauaji ya mara kwa mara vinavyotekelezwa na watu wanaodaiwa na Bujumbura kuwa wanatokea upande wa Rwanda.
-
Kagame akasirishwa na wanaosema amewaachilia huru wafungwa kwa mashinikizo
Sep 20, 2018 01:33Rais Paul Kagame wa Rwanda ameoneshwa kukasirishwa sana na wale wanaosema kuwa amewaachilia huru wafungwa kutokana na mashinikizo.
-
Serikali ya Uganda yautaka Umoja wa Ulaya usiingilie mambo yake ya ndani
Sep 17, 2018 12:45Serikali ya Uganda imeulalamikia vikali Umoja wa Ulaya na kuutaka uache tabia yake ya kuingia mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Taarifa ya serikali ya Uganda imeeleza kuwa, umoja huo unapaswa kutambua kwamba, Uganda ni nchi huru na yenye kujiamulia mambo yake. Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail….
-
Barabara ya juu ya Tazara jijini Dar es Salaam Tanzania kufunguliwa mwezi Oktoba 2018 + Sauti
Sep 16, 2018 13:27Ujenzi wa barabara ya juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam Tanzania umekamilika kwa asilimia 98 na unatarajiwa kufunguliwa mwezi Oktoba mwaka huu na Rais John Pombe Magufuli. Amari Dachi na maelezo zaidi...
-
Baraza la Seneti la Burundi kuchunga mashirika ya kigeni + Sauti
Sep 14, 2018 01:57Baraza la Seneti la Burundi lina mpango wa kuyachunguza mashrika ya kimataifa yanayotoa huduma nchini humo kubaini iwapo yanasajili wafanyakazi wake kwa kuzingatia usawa wa kikabila na kijinsia kama inavyoagiza sheria ya nchi hiyo au la. Mwandishi wetu Hamida Issa na ripoti kamili...