-
Kinyang'anyiro cha ubunge chaingia kasi nchini Rwanda
Aug 16, 2018 03:36Nchini Rwanda, kampeni za ubunge za kuwania viti vya uwakilishi bungeni katika uchaguzi wa uliopangwa kufanyika mwezi ujao wa Septemba zinaendelea.
-
Wabunge Uganda wachachamaa, wataka kujua hatima ya wenzao waliokamatwa na polisi
Aug 16, 2018 03:28Spika wa Bunge la Uganda, Jumatano alilazimika kusimamisha vikao vya bunge kwa muda wa saa moja baada ya kuombwa na wabunge waende wakafuatilie hatima ya wabunge wenzao waliowekwa kizuizini na polisi. Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
-
SAUTI, UN yamtaja Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kuwa kiongozi pekee barani Afrika anayepambana na ufisadi
Aug 14, 2018 11:46Umoja wa Mataifa umempongeza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kutokana na juhudi kubwa za kupambana na ufisadi anazozitekeleza nchini humo.
-
Upinzani wazidi kupata pigo Tanzania, Mtatiro naye ahamia CCM + SAUTI
Aug 11, 2018 10:28Mrengo wa upinzani nchini Tanzania umeendelea kupata pigo kutokana na viongozi wake mashuhuri kuhamia chama tawala cha Mapinduzi CCM baada ya Julius Mtatiro, Mwenyekiti wa Chama cha CUF kambi ya Maalim Seif Sharif Hamad kutangaza leo kwamba, amekihama chama hicho na kuhamia CCM.
-
SAUTI, Mufti wa Zanzibar Sheikh Omar Al Kaabi, awataka Waislamu kutoichezea ndoa ya Kiislamu.
Aug 10, 2018 12:03Mufti wa Zanzibar Saleh Omar Al Kaabi, amewataka Waislamu kuheshimu na kuienzi ndoa kwa ajili ya kujenga jamii bora yenye kufuata maamrisho ya Mwenyezi Mungu.
-
SAUTI, Wizara ya Afya Uganda: Bado tuna magonjwa matatu makubwa ambayo yanatunyima usingizi
Aug 10, 2018 12:02Maradhi matatu makubwa, yametajwa kuwa ni changamoto ambayo hadi sasa inaendelea kulisumbua taifa la Uganda.
-
Muungano wa walimu wakuu Afrika wataka kuunganishwa katika Umoja wa Afrika
Aug 08, 2018 13:33Muungano wa walimu wakuu barani Afrika umepitisha hoja ya kutaka kujumuishwa muungano huo katika nafasi ya uangalizi kwenye Umoja wa Afrika. Muungano huo kadhalika umetupilia mbali hoja ya uwezekano wa kuwa na mfumo mmoja wa elimu barani humu, ukisema kila taifa mwanachama lina matatizo maalumu, ila kinacho hitajika ni usimamizi bora wa taasisi za elimu. Kutoka Mombasa mwandishi wetu Seifullah Murtadha ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo….
-
Zarif: Dunia haiafikiani na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran + Video
Aug 08, 2018 10:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, dunia haiafikiani na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusema kuwa, sasa hivi nchi mbalimbali duniani zinafanya juhudi za kupambana na vikwazo hivyo.
-
SAUTI, Sheikh Hemedi Jalala, awataka watu wenye imani tofauti kuvumiliana, kuelewana na kulinda amani
Aug 06, 2018 12:11Kiongozi wa Chuo cha Imam Swadiq (as) jijini Dar es Salaam, Tanzania Sheikh Hemed Jalala, ametoa mwito kwa watu wa dini tofauti kuishi kwa maelewano, amani na utulivu.
-
SAUTI, Mamlaka ya mapato nchini Uganda, imeamua kutumia mashine za kisasa katika kunasa bidhaa haramu
Aug 06, 2018 12:10Mamlaka ya kukusanya mapato nchini Uganda URA, imetangaza kwamba imefanikiwa kunasa kiasi kikubwa cha bidhaa haramu ambazo zilikuwa zikiingizwa nchini bila kulipiwa ushuru.