Muungano wa walimu wakuu Afrika wataka kuunganishwa katika Umoja wa Afrika
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i47315-muungano_wa_walimu_wakuu_afrika_wataka_kuunganishwa_katika_umoja_wa_afrika
Muungano wa walimu wakuu barani Afrika umepitisha hoja ya kutaka kujumuishwa muungano huo katika nafasi ya uangalizi kwenye Umoja wa Afrika. Muungano huo kadhalika umetupilia mbali hoja ya uwezekano wa kuwa na mfumo mmoja wa elimu barani humu, ukisema kila taifa mwanachama lina matatizo maalumu, ila kinacho hitajika ni usimamizi bora wa taasisi za elimu. Kutoka Mombasa mwandishi wetu Seifullah Murtadha ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo….
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Aug 08, 2018 13:33 UTC