-
Iran yalaani jaribio la kutaka kumuua Rais wa Venezuela + Video
Aug 05, 2018 11:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali jaribio la kutaka kumuua rais wa Venezeula Nicolas Maduro.
-
SAUTI, Serikali ya Kenya yachukua hatua kali kukilinda kisiwa cha Mombasa kisitoweke
Aug 03, 2018 03:29Serikali ya Kenya imeweka mikakati madhubuti kuhakikisha kisiwa cha Mombasa kinasalia kuwa kisiwa.
-
SAUTI, Marais wastaafu wa Kiafrika wazitaka nchi za bara hilo kuacha tabia ya kuombaomba misaada
Aug 03, 2018 03:27Marais saba wa zamani wa nchi za Kiafrika, walianza jana kikao cha siku mbili mjini Kigali, Rwanda ambapo wamesema kwamba serikali zilizoko madarakani barani Afrika zinahitaji mfumo bora wa ukusanyaji mapato.
-
Zarif: Marekani imepatwa na uraibu wa kuweka vikwazo
Jul 30, 2018 03:19Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema Marekani imepatwa na uraibu wa kuweka vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali na kwamba Wairani watavuka kipindi kigumu cha sasa kwa umoja na mshikamano wao.
-
SAUTI, Waislamu nchini Kenya wapinga uteuzi wa mabalozi Wakristo kupelekwa maeneo matukufu
Jul 29, 2018 12:15Waislamu nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kuwa makini katika kuzingatia maeneo anayowatuma mabalozi wake duniani.
-
SAUTI, Madereva nchini Tanzania, waikosoa polisi kwa kuwanyang'anya leseni zao, wadai hilo haliwezi kuzuia ajali za barabarani
Jul 26, 2018 12:27Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani nchini Tanzania, limetangaza kuanzisha operesheni kali ya uhakiki wa leseni za madereva wote nchini huko kuanzia Agosti Mosi mwaka huu.
-
SAUTI, Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi za Afrika wanakutana nchini Rwanda kujadili umuhimu wa kuenzi tamaduni bora
Jul 26, 2018 11:52Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanakutana mjini Kigali Rwanda katika kujadili masuala muhimu yenye lengo la kuzishauri serikali za mataifa hayo kujiepusha na ukoloni mamboleo.
-
SAUTI, Ziara ya Narendra Modi nchini Uganda, kupanua kiwango uhusiano wa kiuchumi na kisiasa kati ya nchi mbili
Jul 24, 2018 03:46Ziara ya Waziri Mkuu wa India nchini Uganda imetajwa kuwa itakayoboresha mahusiano ya nchi mbili, kutokana na kuwepo matumaini kuonyesha irada ya suala hilo.
-
SAUTI, Rais Xi Jin Ping wa China: Beijing imeazimia kuimarisha uhusiano mwema na nchi za bara la Afrika
Jul 23, 2018 11:01Rais wa China Xi Jin Ping amesema kuwa, nchi yake imejizatiti kuzidisha ushirikiano wake na bara la Afrika kutoka na hatua ya maendeleo yanayoendelea kuonekana barani humo.
-
SAUTI, Tanzania na Korea Kusini zaimarisha ushirikiano, zaondoa zuio la visa kwa wanadiplomasia na watumishi wa nchi mbili
Jul 22, 2018 11:49Waziri Mkuu wa Korea Kusini, Lee Nak-yeon ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchi Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Jamuhuri ya Muungango wa Tanzania, Kassim Majaliwa.