-
China: Nchi za Afrika zijiepushe kuwaingiza madarakani wala rushwa
Jul 17, 2018 14:12Mkuu wa Idara ya Kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti nchini China (CPC), Song Tao, amezishauri serikali za mataifa ya bara la Afrika kuandaa mkakati maalumu ambao kwa mujibu wake utazuia viongozi wala rushwa kuingia madarakani.
-
Qassemi: Yaliyozungumzwa baina Mjumbe wa Iran na Rais wa Russia hayajatangazwa
Jul 16, 2018 08:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Yaliyozungumzwa baina ya Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa na Rais Vladimir Putin wa Russia hayjatangazwa."
-
SAUTI, Mashirika ya kiraia yaitaka serikali ya Kenya kuwasaidia Wakenya wanaoteswa nchini Saudia
Jul 14, 2018 12:50Mashirika kadhaa ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya yameitaka serikali ya ya nchi hiyo kufuatialia hali ya Wakenya wanaofanya kazi mbalimbali katika nchi za Kiarabu hususan Saudi Arabia.
-
SAUTI, Viongozi Chadema Tanzania: Tume ya Uchaguzi isimamie vyema uchaguzi wa Buyugu kuepusha ghasia
Jul 12, 2018 11:27Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia kwa haki uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani katika eneo la Buyugu mkoani Kigoma.
-
SAUTI, Marais Omar Al-Bashir wa Sudan na Yoweri Museven wa Uganda, wamelivalia njuga suala la Sudan Kusini
Jul 09, 2018 11:39Marais Omar al-Bashir wa Sudan na Yoweri Museven wa Uganda, wameongoza mazungumzo ya usuluhishi kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Sudan.
-
SAUTI, Sakata la kodi mpya kwa mitandao ya kijamii Uganda lazidi kutokota, Waganda waitisha maandamano nchi nzima kuipinga
Jul 07, 2018 12:34Sakata la kuwekwa kodi kwa mitandao ya kijamii nchini limezidi kutokota ambapo mara hii kundi la wanaharakati kwa kushirikiana na viongozi wa upinzani wameitisha maandamano ya nchi nzima kupinga kodi hiyo.
-
SAUTI, Viongozi wa upinzani Tanzania waendelea kuishambulia bajeti ya serikali, waitaja kuwa si rafiki wa Watanzania
Jun 28, 2018 11:19Viongozi wa upinzani nchini Tanzania wameendelea kukosoa bajeti ya serikali yam waka wa fedha 2018-2019 wakidai kuwa bajeti hiyo si rafiki wa wananchi.
-
SAUTI, Burundi yakosoa kitendo cha Rwanda cha kuwatimua wakimbizi wa Kirundi bila kuwapa mali zao
Jun 28, 2018 11:14Serikali ya Burundi imekosoa kitendo cha serikali ya nchi jirani ya Rwanda cha kuwafukuza zaidi ya wakimbizi 550 bila sababu.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)
Jun 26, 2018 12:11Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Uganda wameanza kujitayarisha kurejea nchini kwao, baada ya pande hasimu za kisiasa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusaini makubaliano ya amani mjini Khartoum, Sudan.
-
Homa ya Chikungunya na Dengue zaripotiwa nchini Tanzania (RIPOTI)
Jun 26, 2018 10:30Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwepo kwa magonjwa wa homa ya Chikungunya na Dengue nchini humo.