-
IGAD yatangaza kuimarika usalama Pembe ya Afrika + Sauti
Jun 25, 2018 12:24Jumuiya ya IGAD imetangaza kuimarika usalama katika eneo la Pembe ya Afrika na kwa sasa imepitisha sheria ya sera za kibinadamu ambazo zitafanikisha usalama huo. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa Kenya.
-
Mnangagwa: Nilikuwa karibu sana na mlipuko; uchaguzi utaendelea kama ilivyopangwa + Video
Jun 24, 2018 08:46Rais wa Zimbabwe amesema kuwa uchaguzi wa rais nchini humo utafanyika tarehe 30 Julai kama ilivyopangwa licha ya kile kinachosemekana ni jaribio la kutaka kumua jana Jumamosi.
-
Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video
Jun 24, 2018 00:15Rais wa Zimbabwe amesema baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa jana kwamba, siku yake ya kufa ilikuwa haijafika.
-
Answarullah wasambaza video nyingine inayoonesha uongo wa Saudia kuhusu vita vya Yemen + Video
Jun 17, 2018 22:03Harakati ya Answarullah ya Yemen kwa mara nyingine tena imesambaza mkanda wa video ili kukanusha madai ya uongo yaliyotangazwa na Saudi Arabia na wavamizi wenzake kuwa eti wameuteka uwanja wa ndege wa al Hudaydah.
-
Mufti wa Uganda awataka Waislamu wasaidie kupatikana amani duniani + Sauti
Jun 16, 2018 01:54Mufti wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amewasihi Waislamu kote duniani wachangie kupatikana amani, lakini wakianzia kwa jamii zao. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
-
SAUTI, Aliyekuwa mkuu wa jeshi la Polisi nchini Uganda, Kale Kayihura atiwa mbaroni, kushtakiwa kijeshi
Jun 13, 2018 12:45Jenerali wa zamani wa jeshi la polisi nchini Uganda, Kale Kayihura, ametiwa mbaroni Jumatano hii akihusishwa na tuhuma mbalimbali alizozitenda wakati akitumikia nafasi hiyo.
-
Wanamgambo wa Bemba washtakiwa CAR + Sauti
Jun 11, 2018 11:01Wahanga wa mashambulizi ya wanamgambo wa Jean Pierre Bemba huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wameamua kufungua kesi dhidi ya makamanda wa kundi hilo pamoja na Jenerali mmoja wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC. Maelezo zaidi yamo ndani ya ripoti ya mwandishi wetu Mossi Mwasi.
-
SAUTI, Mawaziri wa Nishati wa Rwanda na Tanzania watembelea mradi wa umeme wa Rusumo wahimiza kasi zaidi
Jun 10, 2018 12:38Serikali za Rwanda na Tanzania zimekubaliana kuzidisha ushirikiano katika ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa nchi mbili.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Kenya 2018
Jun 09, 2018 08:38Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Kenya.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Tanzania 2018
Jun 09, 2018 08:29Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Tanzania.