-
RIPOTI MATUKIO YA KIISLAMU, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awataka wanawake kuacha kuvaa nguo fupi na zenye kubana
Jun 08, 2018 11:35Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewataka wanawake na wasichana wanaovaa nguo fupi na nguo za kubana kuacha tabia hiyo hususan katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
-
SAUTI, Nchi za Afrika zashauriwa kuacha kuiga nchi zilizoendelea, na badala yake zitumie ubunifu wao zenyewe
Jun 08, 2018 11:34Watafiti wa bara la Afrika waliokutana mjini Kigali Rwanda, wameziomba serikali za Kiafrika kuacha kuiga stratijia za mataifa yaliyoendelea, na badala yake watumie ujuzi wazo wenyewe katika uwanja huo.
-
Nkurunziza asema hatogombea urais nchini Burundi mwaka 2020+SAUTI
Jun 07, 2018 11:00Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametangaza kuwa hatagombea urais katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020, licha ya katiba mpya aliyoiidhinisha hii leo kumpa kibali cha kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
-
Kenya yatakiwa kukata uhusiano na utawala pandikizi wa Israel +SAUTI
Jun 07, 2018 10:28Wanaharakati wa vuguvugu la Muungano wa Kenya na Palestina wameapa kuishinikiza serikali kusitisha uhusiano na serikali ya kidhalimu ya Israel na washirika wake wa karibu kama vile Marekani, baada ya madola hayo kuendeleza hujuma za wazi dhidi ya Wapalestina na kuikalia ardhi yao kwa mabavu.
-
Mahojiano na Mwenyekiti wa Harakati ya Kenya na Palestina kuhusu Siku ya Quds+SAUTI
Jun 07, 2018 09:31Mwandishi wa Radio Tehran mjini Mombasa, Seifullah Murtadha amezungumza na Mwenyekiti wa Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina, Bw. Abdulqadir Nasser kuhusu umuhimu wa Siku ya Quds.
-
Rwanda yachukua hatua kali zaidi dhidi ya vyombo vya plastiki + Sauti
Jun 05, 2018 13:26Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mazingira, serikali ya Rwanda imepiga hatua nyingine mbele ya kukomesha matumizi ya aina yoyote ya vifaa vya plastiki kwa sababu vinahatarisha maisha ya viumbe hai.
-
Franc bilioni 17 zimeshakusanywa Burundi kwa ajili ya uchaguzi + Sauti
Jun 05, 2018 12:15Serikali ya Burundi imetangaza kiwango cha Franc bilioni 17 za nchi hiyo sawa na dola milioni 17 za Kimarekani kuwa ndizo tayari zimekusanywa katika michongo inayotolewa ndani ya nchi hiyo kugharamia uchaguzi mkuu wa 2020. Hamida Issa na maelezo zaidi...
-
Kenya yaweka historia, Rais Kenyatta azindua uuzaji mafuta nje + Sauti
Jun 03, 2018 14:11Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua rasmi usafirishaji wa mafuta ghafi ya petroli yaliyochimbwa nchini humo na kwa utaratibu huo nchi hiyo imeanza mkakati wa kuuza bidhaa hiyo katika soko la kimataifa.
-
Mitandao ya kijamii yalaumiwa kwa kuporomoka maadili Kenya + Sauti
Jun 03, 2018 01:11Visa vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 kunyanyaswa kijinsia nchini Kenya vimekithiri na kuipa changamoto Serikali kuushinikiza mhimili wa mahakama kuwaadhibu ipasavyo wahalifu wa uovu huo.
-
'Udugu' na 'Vita dhidi ya Ufisadi' vyatawala maadhimisho ya Siku ya Madaraka Kenya
Jun 01, 2018 11:19Wakenya wameadhimisha Siku ya Madaraka huku kaulimbiu ya mwaka huu ikiwa mbele pamoja.