Wabunge Uganda wachachamaa, wataka kujua hatima ya wenzao waliokamatwa na polisi
Aug 16, 2018 03:28 UTC
Spika wa Bunge la Uganda, Jumatano alilazimika kusimamisha vikao vya bunge kwa muda wa saa moja baada ya kuombwa na wabunge waende wakafuatilie hatima ya wabunge wenzao waliowekwa kizuizini na polisi. Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
Tags