-
Iran yawakamata magaidi wa Mossad kaskazini magharibi mwa nchi
Jun 15, 2025 23:46Vikosi vya usalama vya Iran vimewakamata magaidi wawili wa shirika la ujasusi la Mossad la utawala haramu wa Israel kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Waziri wa Afya wa Iran: Mashambulizi ya Israel yanalenga raia, hasa wanawake na watoto
Jun 15, 2025 23:45Waziri wa Afya wa Iran, Dakta Mohammadreza Zafarghandi, amesema kuwa wengi wa waathirika wa mashambulizi ya Israel nchini Iran katika siku za hivi karibuni ni raia, ikiwemo idadi kubwa ya wanawake na watoto.
-
Yajue makombora ya 'Emad', 'Ghadr', na 'Kheibar Shekan' yanayotumiwa na Iran dhidi ya Israel
Jun 15, 2025 23:43Kulingana na taarifa za vyombo vya habari vya Iran, kitengo cha anga za juu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kilitumia mifumo mbalimbali ya kisasa ya makombora wakati hujuma ya ulipizaji kisasi dhidi ya Israel iliyopewa jina 'Operesheni Ahadi ya Kweli III' Jumamosi.
-
Rais Pezeshkian: Jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni ni ushahidi wa uadui wake
Jun 15, 2025 09:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, jinai za hivi karibuni za jeshi la Kizayuni ni ushahidi wa uchokozi na upuuzaji wake wa maisha ya binadamu.
-
Mashambulio ya makombora na ndege zisizo na rubani ya Iran dhidi ya Israel, mwisho wa zama za "kushambulia na kukimbia" kwa Israel.
Jun 15, 2025 08:45Baada ya utawala wa Kizayuni kuishambulia Iran kwa ushirikiano wa Washington asubuhi ya Ijumaa, Juni 13, na kupelekea kuuawa shahidi idadi kubwa ya makamanda waandamizi wa kijeshi na wanasayansi, pamoja na raia wa kawaida, Iran, kama ilivyoahidi awali, ilianza kutoa jibu kali kwa jinai hiyo na mauaji ya kimbari Ijumaa usiku kupitia operesheni ya mashambulio ya makombora na ndege zisizo na rubani, iliyopewa jina la Ali ibn Abi Talib.
-
Araqchi: Marekani inahusika katika uchokozi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
Jun 15, 2025 08:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kwamba uchokozi wa utawala wa Israel dhidi ya ardhi ya Iran haungewezekana bila msaada wa Marekani, na kwamba jumbe za Rais wa Marekani katika mitandao ya kijamii ni dalili ya ushiriki huu.
-
Iran yatungua droni na ndege nyuki 44 katika kipindi cha masaa 48
Jun 15, 2025 07:44Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Mipakani, Brigedia Jenerali Ahmad Ali Goodarzi, amesema kuwa, Iran imefanikiwa kutungua droni (ndege isiyo na rubani) na ndege nyuki 44 za adui Mzayuni kiatika kiipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Pezeshkian: Israel inahujumu juhudi za kuimarisha amani, utulivu na usalama
Jun 15, 2025 04:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja mashambulio ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran kuwa ni ushahidi wa dhati ya kijinai ya utawala huo ghasibu na kusema: Tangu niingie madarakani kama Rais, nimekuwa nikijaribu kuimarisha amani, utulivu na usalama katika eneo hili, lakini utawala wa Kizayuni unavuruga kwa kufanya hujuma katika kila eneo tulilokaribia kukfanikisha jambo fulani.
-
Araghchi: Kila nchi ina haki halali ya kujilinda
Jun 15, 2025 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Kila nchi ina haki halali ya kujilinda na kujihami mbele ya uchokozi.
-
Mashambulizi makubwa ya Iran yawachanganya vibaya Wazayuni
Jun 15, 2025 04:29Mashambulizi ya makombora ya Iran ya jana usiku ya kulipiza kisasi jinai za Israel ni makubwa kiasi kwamba hadi hivi sasa taasisi za utawala wa Kizayuni zimeemewa na hazijui zianzie wapi.