-
Araghchi: Kila nchi ina haki halali ya kujilinda
Jun 15, 2025 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Kila nchi ina haki halali ya kujilinda na kujihami mbele ya uchokozi.
-
Mashambulizi makubwa ya Iran yawachanganya vibaya Wazayuni
Jun 15, 2025 04:29Mashambulizi ya makombora ya Iran ya jana usiku ya kulipiza kisasi jinai za Israel ni makubwa kiasi kwamba hadi hivi sasa taasisi za utawala wa Kizayuni zimeemewa na hazijui zianzie wapi.
-
Pakistan yaunga mkono Iran, yatoa wito kwa Umma wa Kiislamu kuungana dhidi ya Israel
Jun 15, 2025 01:16Pakistan imetangaza kuwa itaunga mkono Iran kikamilifu katika majukwaa yote ya kimataifa, na kutoa wito kwa ulimwengu wa Kiislamu kuungana dhidi ya uchokozi wa utawala wa Kizayuni unaolenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Araghchi: Haiwezekani kuendeleza mazungumzo kati ya Iran na Marekani wakati wa unyama wa Israel
Jun 15, 2025 01:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa kuendelea kwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani, wakati ambapo utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama, ni jambo lisilokubalika.
-
Israel yaendelea kukabiliwa na mvua ya makombora ya Iran; mkuu wake wa ujasusi ajiuzulu
Jun 14, 2025 23:39Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) usiku wa kuamkia leo limetekeleza wimbi jipya la mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya utawala wa Kizayuni, kufuatia awamu ya kwanza ya operesheni ya kulipiza kisasi ya "Ahadi ya Kweli III" Ijumaa usiku.
-
Iran yaangusha ndege ya tatu ya kivita aina ya F-35, marubani wawili Waisraeli wakamatwa
Jun 14, 2025 09:44Jeshi la Iran (Artesh) limeripoti kuangusha ndege ya tatu ya kivita aina ya F-35 inayomilikiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kutumia mifumo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa ndani ya Iran.
-
Operesheni ya Iran dhidi ya Israel itaendelea kadiri itakavyolazimu
Jun 14, 2025 04:13Operesheni ya kulipiza kisasi ya Ahadi ya Kweli III inayotekelezwa na Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel itaendelea kadiri inavyohitajika. Haya yamesemwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yapiga shabaha 150 za Israel katika Operesheni ya Ahadi ya Kweli 3
Jun 14, 2025 03:43Afisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Iran amesema kwa akali shabaha 150 zimepigwa wakati wa operesheni ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya utawala haramu wa Israel, ikiwa ni pamoja na kambi kadhaa za kimkakati za kijeshi za utawala huo pandikizi.
-
Iran yatungua ndege 2 za kivita za Israel za F-35, yamkamata rubani
Jun 14, 2025 03:35Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimefanikiwa kutungua na kuteketeza ndege mbili za kivita za Israel aina ya F-35, na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani. Iran imekuwa nchi ya kwanza duniani kuweza kutungua ndege ya kijeshi ya F-35.
-
Jenerali Hatami ateuliwa kuwa Kamanda mpya wa Majeshi ya Iran
Jun 14, 2025 03:34Brigedia Jenerali Amir Hatami ameteuliwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, kuwa Kamanda Mkuu mpya wa Majeshi ya Iran.