-
Iran yazindua mpango wa kuzalisha megawati 20,000 za umeme wa nyuklia
May 29, 2025 01:05Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu imezindua mpango unaolenga kuzalisha hadi megawati 20,000 za umeme kutokana na shughuli zake za amani za nishati ya nyuklia.
-
Kamanda wa IRGc asema Iran imejiandaa kwa kila hali, aionya Marekani
May 29, 2025 01:01Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Meja Jenerali Hossein Salami, amepuuza vikali vitisho vya kijeshi kutoka Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akisisitiza kuwa taifa hili limejiandaa kikamilifu kukabiliana na hatari yoyote, na lina uwezo wa kujilinda dhidi ya aina zote za vitisho.
-
Iran yamnyonga jasusi mwingine wa shirika la kijasusi la Mossad la Israel
May 29, 2025 00:57Idara ya Mahakama ya Iran imeripoti kuwa mtu mmoja aliyekamatwa mwaka 2020 na kutiwa hatiani kwa kushirikiana kwa kiwango kikubwa na shirika la kijasusi la Israe (Mossad), amenyongwa.
-
Ukuaji wa ajira duniani wapungua, Afrika na Amerika zaathirika zaidi
May 29, 2025 00:53Katika toleo lake jipya la Mtazamo wa Ajira na Kijamii duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la Ajira, ILO limebainisha kuwa mivutano ya kisiasa na hitilafu za kibiashara ni sababu kuu za kudhoofika kwa matarajio ya uchumi wa dunia, hali ambayo imesababisha kudorora kwa ukuaji wa ajira.
-
Imam Khamenei: Uanachama wa Iran katika asasi muhimu za kieneo na kimataifa ni fursa ya kuwahudumia wananchi na maendeleo
May 29, 2025 00:08Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uanachama wa Iran katika asasi na jumuiya muhimu za kieneo na kimataifa kama vile Shanghai na BRICS ni fursa ya kuwatumikia wananchi na kuleta maendeleo.
-
Araghchi: Iran inalaani jaribio lolote la kuharibu umoja wa Waislamu
May 28, 2025 07:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali jaribio lolote la kuharibu umoja na mshikamano wa Waislamu hususan wakati huu wa anga ya kiroho na kimaanawi ya Msimu wa Hija.
-
Sababu za kuimarika uhusiano wa Iran na Oman
May 28, 2025 04:43Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Sultan Haitham bin Tariq wa Oman mjini Muscat na kujadiliana naye njia za kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Iran: Hatuna cha kujadiliana na Uingereza iwapo haitaki turutubishe urani
May 28, 2025 03:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi ameonya kwamba, hakutakuwa na msingi zaidi wa mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Uingereza ikiwa London inaitaka Tehran isitishe kabisa shughuli zake za amani za kurutubisha urani, ikifuata kibubusa msimamo wa mshirika wake wa Magharibi, Marekani.
-
Iran na Oman zatiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano
May 27, 2025 23:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimetiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali.
-
Meja Jenerali Baqeri: Iran na Pakistan zimeazimia kupambana na ugaidi
May 27, 2025 22:40Mkuu wa Majeshi ya Iran amesema kuwa, vikosi vya kijeshi vya Iran na Pakistan vimeazimia kwa dhati kupambana na kuutokomeza ugaidi katika mipaka ya pande zote mbili.