-
Iran: Madola ajinabi hayana haki ya kutupangia cha kufanya
May 24, 2025 22:53Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: "Watu ajinabi hawawezi kutupangia nini cha kufanya. Tunachukua maamuzi yetu wenyewe na kutenda kwa kuzingatia malengo na maslahi ya taifa letu."
-
Jeshi la Iran: Tutakabiliana na tishio lolote au uchokozi kwa irada kamili
May 24, 2025 09:31Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa, litajibu kwa nguvu zake zote tishio au uchokozi wowote na halitaruhusu ndoto za maadui kutimia.
-
Trump ashauriwa kuepuka kosa la Saddam katika kukabiliana na Iran
May 24, 2025 09:19Gazeti la The Hill limeonya kuwa kudharau uthabiti wa Iran kunaweza kusababisha kushindwa kimkakati, na kuwataka watunga sera wa Marekani kutanguliza diplomasia badala ya makabiliano.
-
Timu ya Taifa ya Iran ya Para-Karate yatwaa ubingwa wa Asia 2025
May 24, 2025 09:09Timu ya taifa ya Iran ya para-karate imenyakulia taji la ubingwa katika Mashindano ya Asia ya 2025 yaliyofanyika Tashkent, Uzbekistan.
-
Iran yaitaka Vatican ichukue hatua za haraka kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
May 24, 2025 03:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, katika mkutano na maafisa wa Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani, Vatican huko mjini Rome, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa kukomesha uhalifu unaoendelea kufanyika Gaza, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inafika katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Araghchi: Iran yaendelea kusimama imara, Marekani yaelewa vyema msimamo wa nyuklia wa Tehran
May 24, 2025 00:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amepongeza duru mpya ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani akiyataja kuwa mojawapo ya "mazungumzo ya kitaalamu zaidi" kuwahi kufanyika, akisisitiza kuwa Tehran itaendelea kusimama imara na kushikilia misimamo yake "iliyo wazi kabisa".
-
Kamandi ya Majeshi la Iran: Uchokozi wowote utakabiliwa na jibu kali
May 23, 2025 23:04Vikosi vya Jeshi la Iran vimetoa taarifa vikisisitiza kuwa, vitatoa majibu thabiti dhidi ya vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.
-
UNHCR yaipongeza Iran kwa kuhudumia vyema wakimbizi
May 23, 2025 23:04Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa wa (UNHCR) ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuhudumia vyema wakimbizi.
-
Je, mfumo mpya wa kikanda unaofuatiliwa na Iran una sifa gani?
May 23, 2025 23:02Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefafanua mfumo mpya wa kieneo unaofuatiliwa na Iran, katika makala iliyochapishwa kwenye tovuti ya Jukwaa la Mazungumzo la Tehran.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Iran haitaachana na haki yake ya teknolojia ya nyuklia
May 23, 2025 08:43Imam wa muda wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitasalimu amri na kuachana na haki yake isiyoweza kupokonywa ya matumizi ya amani ya teknolojia ya nyuklia.