-
Kiongozi Muadhamu: Hatusubiri idhini ya yeyote katika kurutubisha madini ya urani
May 20, 2025 10:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Iran haingojei ruhusa ya mtu yeyote ili kurutubisha madini ya urani na kwamba Jamhuri ya Kiislamu ina sera zake.
-
Araqchi: Iran imo mbioni kuanzisha tena uhusiano na Bahrain na Misri
May 20, 2025 10:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamahuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mchakato wa kurejesha uhusiano wa nchi hii na Bahrain na Misri umeanza.
-
Ujumbe wa Mkutano wa Kimataifa wa Jukwaa la Mazungumzo ya Tehran katika kufafanua upya diplomasia ya kikanda
May 20, 2025 09:31Kikao cha nne cha Jukwaa la Mazungumzo Ya Tehran kimefanyika hapa mjini Tehran, kikisisitiza "wakala wa kikanda" na ulazima wa kuunda utaratibu mpya kutoka ndani ya eneo.
-
Rais Pezeshkian: Hatusubiri maagizo au ruhusa kutoka kwa mtu yeyote
May 20, 2025 03:25Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran kamwe haisubiri maagizo au ruhusa kutoka kwa mtu yeyote na itaendelea kusimama imara kulinda haki zake kwa nguvu zake zote.
-
Jenerali: Maadui watalipa gharama isiyoweza kuelezeka wakihujumu Iran
May 20, 2025 02:57Mkuu wa Majeshi ya Iran, Meja Jenerali Mohammad Hossein Bagheri, ameonya kuwa hatua yoyote ya uadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, ikiwemo ukiukaji wa anga ya taifa, itawaletea maadui gharama kubwa isiyoweza kufidiwa.
-
Iran yataka maendeleo ya Akili Mnemba katika nchi za Kiislamu
May 20, 2025 02:56Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mohammad-Reza Aref, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuwekeza na kuendeleza Akili Mnemba (AI) kwa kuzingatia kanuni kuu tatu za ushirikiano wa pande kadhaa, mshikamano wa kisayansi, na miundombinu ya pamoja.
-
Vitabu milioni 1.4 vimeuzwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu Tehran
May 20, 2025 02:54Maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Vitabu Tehran ambayo yalimalizika Jumamosi jioni, yalivutia zaidi ya wageni milioni sita katika kipindi cha siku 11 za maonyesho.
-
Sababu ya Iran kutolegeza msimamo kuhusu haki yake ya kurutubisha madini ya urani
May 20, 2025 00:19Ikiwa ni katika kujibu matamshi ya Steve Whitkoff, mkuu wa timu ya mazungumzo ya Marekani, Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: "Kufikiwa makubaliano kunawezekana na tuko tayari kuingia katika mazungumzo mazito. Kwa vyovyote vile, urutubishaji nchini Iran utaendelea tu, makubaliano yafikiwe au la."
-
Iran: Vikwazo vya Marekani ni ishara ya uhasama, diplomasia yao si ya kweli
May 19, 2025 08:41Iran imelaani vikali msururu wa vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani, ikivitaja kama vitendo vya uadui dhidi ya watu wa Iran na ushahidi kuwa madai ya Marekani kuhusu kutafuta suluhisho la kidiplomasia ni ya kinafiki.
-
Jukwaa la Mazungumzo la Tehran lataka eneo lisilo na silaha za nyuklia Asia ya Magharibi
May 19, 2025 08:17Jukwaa la Mazungumzo la Tehran (TDF) limetilia mkazo umuhimu mkubwa wa kuanzishwa kwa eneo huru lisilo na silaha za nyuklia katika eneo la Asia ya Magharibi.