-
Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni
Nov 22, 2024 08:45Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kuwa linafuata matakwa ya utawala haramu wa Israel.
-
Salami: Tutalipa kisasi dhidi ya Israel na hilo halina shaka
Nov 22, 2024 08:40Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH amesema kuwa, wananchi wa Iran lazima wawe na yakini kwamba tutalipiza kisasi kwa utawala ghasibu wa Israel.
-
Iran kuweka sentrifuji za kisasa kujibu hatua ya Bodi ya Magavana ya IAEA kupitisha azimio dhidi yake
Nov 22, 2024 03:35Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ametoa amri ya kuchukuliwa hatua madhubuti ikiwa ni pamoja na kuwekwa majimui maalumu ya mashinepewa (centrifuges) mpya na za kisasa za aina tofauti kufuatia azimio lisilo na sababu lililopitishwa na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran.
-
Araghchi: Bodi ya Magavana ya IAEA inahitaji kupinga azimio la E3 dhidi ya Iran
Nov 21, 2024 23:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema wajumbe wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) wanapaswa kupinga jitihada za nchi tatu za Ulaya za kupitisha azimio dhidi ya Tehran.
-
Baqaei: Vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran hayafui dafu
Nov 21, 2024 23:02Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesisitiza kuwa, vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran hayana tija.
-
Rais wa Iran atoa wito kwa Papa Francis kusaidia kukomesha jinai za Wazayuni huko Gaza, Lebanon
Nov 21, 2024 06:40Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, katika ujumbe wake kwa Papa Francis, ametoa wito wa kumtaka atumie ofisi yake kusaidia kukomesha "uvamizi usio wa kibinadamu" wa utawala wa Israel dhidi ya watu wa Gaza na Lebanon, na kuanzisha usitishaji vita ili kuzuia kuenea kwa vita katika eneo la Asia Magharibi.
-
Pezeshkian: Upanuzi wa uhusiano na Qatar ni muhimu kwa Iran
Nov 21, 2024 06:34Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran inaupa umuhimu mkubwa upanuzi wa uhusiano na jirani na rafiki yake, Qatar.
-
Iran yaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa, kwa heshima ya Shahidi Qassem Soleimani
Nov 21, 2024 06:27Iran leo inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa, ikitoa heshima kwa mmoja wa watu wake wakuu, Shahidi Qassem Soleimani.
-
Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Nov 21, 2024 04:27Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika mazungumzo yao mjini Tehran wamesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Kamanda wa Zamani: Adui anataka kulenga Iran, Saudi Arabia, Uturuki ikiwa Palestina itaanguka
Nov 21, 2024 00:19Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa utawala wa Israel na washirika wake wataanza kuzilenga kijeshi nchi muhimu za eneo la Asia Magharibi ikiwemo Iran ikiwa watafanikiwa katika vita vyao vya sasa dhidi ya mataifa ya Palestina na Lebanon.