-
Kiongozi Muadhamu: Maandamano dhidi ya Israel yanaashiria kuungwa mkono zaidi Palestina duniani
Feb 22, 2025 08:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano na mikusanyiko dhidi ya Israel barani Ulaya na Marekani inaashiria kuongezeka mshikamano wa kimataifa na taifa la Palestina.
-
Iran: Tutajikita katika kuimarisha uhusiano na mataifa ya Afrika
Feb 22, 2025 08:33Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imesisitiza kuwa, irada ya Jamhuri ya Kiislamu imeelekezwa katika kuimarisha uhusiano wake na mataifa ya Afrika.
-
Jeshi la Iran laanza Luteka ya Zulfiqar-1403 pwani ya kusini
Feb 22, 2025 08:22Vikosi tofauti vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza awamu kuu ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Zulfiqar-1403 leo Jumamosi (Februari 22) katika pwani ya Makran, kusini mashariki, Bahari ya Oman, na kaskazini mwa Bahari ya Hindi.
-
Kilele cha utayarifu wa Jeshi la Iran kwa ajili ya kukabiliana na tishio la adui
Feb 22, 2025 04:44Pembezoni mwa hatua ya mwisho ya mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Mtume Mtukufu wa 19 (SAW) ya Vikosi vya Jeshi la Nchi Kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Meja Jenerali Mohammad Bagheri, Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu viko katika kilele cha utayarifu.
-
Iran inauza zana zake za kijeshi katika nchi 30
Feb 21, 2025 23:42Waziri wa Ulinzi wa Iran, Meja Jenerali Aziz Nasirzadeh, ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sasa inauza vifaa vya kijeshi kwa nchi 30 duniani.
-
Iran yaendelea kumiliki ujuzi wa ujenzi wa Mitambo ya Nyuklia
Feb 21, 2025 23:40Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa Marekani imeshindwa kuzuia ujenzi wa mtambo wa nyuklia wa Karun katika jiji la Darkhovein, kusini magharibi mwa Iran, akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaendelea kufuatilia shughuli zake za nyuklia kwa amani licha ya njama za maadui.
-
Madai yasiyo na msingi ya Trump na sisitizo lake la kuendeleza sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Feb 21, 2025 23:00Akirejelea siasa zake za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amedai kuwa, siasa hizo zinalenga kuleta amani na kwamba Washington haitairuhusu Iran na nchi nyingine kupata silaha za nyuklia.
-
Abutorabi-Fard: Sayyid Hassan Nasrallah aliuletea Umma wa Kiislamu heshima
Feb 21, 2025 09:27Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amezungumzia mazishi yajayo ya shahidi Sayyid Hassan Nasrallah na kusema: "Alikuwa mtu mwenye heshima na aliuletea umma wa Kiislamu heshima. Alikuwa shakhsia mashuhuri ambaye alikuwa nafasi muhimu katika kuondoa migogoro."
-
Rais Pezeshkian: Iran iko tayari kufanya mazungumzo, lakini si "kwa gharama yoyote"
Feb 21, 2025 07:29Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran imeshatangaza mara kadhaa kwamba iko tayari kufanya mazungumzo lakini haitafanya mazungumzo "kwa gharama yoyote ile".
-
Salami: Njama za US, Israel kudhuru Muqawama zimegonga mwamba
Feb 21, 2025 04:06Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC), Meja Jenerali Hossein Salami amesema, hakuna shaka kwamba juhudi za Marekani na utawala wa Kizayuni za kujaribu kuudhuru mrengo wa Muqawama zitafeli na kugonga mwamba.