-
Kwa nini Iran inaunga mkono mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Sudan?
Nov 11, 2025 07:25Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Tehran kwa haki ya mamlaka ya kujitawala Sudan.
-
Brigedia Jenerali Belali: Nguvu ya makombora ya Iran imeanza na mizinga
Nov 11, 2025 07:22Mshauri wa Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema: Kitengo cha mizinga cha Iran kiliundwa katika Operesheni Fat'h al-Mobin na baadaye Iran ikafikia kwenye utengenezaji wa makombora. Nguvu yetu ya sasa ni matunda ya miaka minane ya kujihami kutakatifu ambayo yalianzishwa na Hajj Hassan Tehrani-Moghaddam.
-
Araqchi: Magharibi haina chaguo ila kuitambua Iran kama 'kitovu cha sayansi ya nyuklia'
Nov 11, 2025 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema kuwa nchi za Magharibi hatimaye hazitakuwa na budi ila kuitambua Iran kama kitovu cha kisayansi cha sekta ya amani ya nyuklia.
-
Iran kuzindua satelaiti 3 mwanzoni mwa msimu wa baridi
Nov 11, 2025 04:16Hassan Salarieh, mkuu wa Shirika la Anga za Juu la Iran (ISA) ametangaza mipango ya kurusha kwenye obiti satelaiti tatu zilizoundwa hapa nchini kama sehemu ya jitihada za kuboresha mpango wa anga za juu wa nchi.
-
Kwa nini vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran vimefeli?
Nov 10, 2025 23:49Shirika la Kimataifa la Ufuatiliaji wa Meli za Mafuta, katika ripoti yake mpya, limesema kuwa mauzo ya nje ya mafuta ghafi ya Iran yamefikia kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Larijani: Nchi za Magharibi hazistahili kutoa maoni kuhusu uwezo wa makombora ya Iran
Nov 10, 2025 23:45Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema nchi za Magharibi zinatumia uwezo wa makombora wa nchi hii kama njia ya kutekeleza mashinikizo yao na kusisitiza kuwa nchi hizo hazipasi kuzungumzia suala hilo.
-
Tehran yapuuzilia mbali madai ya Israel ya njama ya kumuua balozi wa utawala huo huko Mexico
Nov 10, 2025 08:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuza vikali madai ya Israel kwamba Tehran ilijaribu kumuua balozi wa utawala huo nchini Mexico, akiyata madai hayo kuwa "hayana msingi na ni ya kipuuzi kabisa."
-
IRGC yavunja mtandao wa udukuzi unaohusishwa na Mossad
Nov 10, 2025 08:42Shirika la Ujasusi la Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza mafanikio makubwa ya kukabiliana na ujasusi, na kumkamata kiongozi wa kundi la udukuzi linalojulikana kama "Backdoor."
-
New York Times: Katika vita vijavyo, Iran itarusha makombora 2,000 kwa wakati mmoja kuilenga Israel
Nov 10, 2025 02:49Gazeti la The New York Times la nchini Marekani limetahadharisha kwamba ikiwa Israel itaishambulia tena Iran, Tehran itajibu hujuma hiyo kwa nguvu zaidi, kwa kurusha makombora 2,000 kwa wakati mmoja kuulenga utawala huo wa kizayuni.
-
Araqchi: Iran iko tayari kusaidia kutatua mvutano wa mpaka kati ya Pakistan na Afghanistan
Nov 09, 2025 23:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema Iran iko tayari kusaidia juhud za kutatua mvutano kati ya Pakistan na Afghanistan ambao umeongezeka hivi karibuni kufuatia mapigano makali ya mpakani.